Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Amani ya Bwana iwe nanyi daima!
Leo tujifunze NAMNA YA KUWA MKE MWEMA KWA MME WAKO!
( KUWA MWANAMKE WA KIROHO,) hii inabeba zifuatazo........
1: kuwa mnyenyekevu ( usimjibu vibaya au kumpandishia sauti mme wako ni isahara ya kukosa heshima kwa mmeo MITHALI 15:1
2: usitoe siri za ndani za udhaifu wa mme wako kwa watu wengine (marafiki, family) WAEFESO 5:12
3: kamwe usimfananishe mme wako na wanaume wengine ( mbona mme wa fulan yuko hivi au anafanya vile )
4: Hata kama huwapendi marafiki wa mme wako usigombane nao acha mme wako amalizane nao MITHALI 15:13
5: usijisahau majukum yako kwa mme wako hata kama una house girl ( mme wako amekuoa wewe sio mfanyakazi) MWANZO 2:24
6: kamwe usigawe majukum ya maangalizi ya mme wako kwa MTU yeyote ....mfanya kazi afanye kazi nyingine zote Ila mme wako ni majukum yako WAEFESO 5:33
7: kamwe usimlaumu mme wako kwann amekuja nyumbani mikono mitupu mtie moyo kesho atapata TORATI 3:28
8: Jua kutumia pesa vizuri usiwe mharibifu na kutumia pesa ovyo za mme wako jasho LA mme wako ni LA thamani kupotea hovyo
9: usijifanye unaumwa kwaku mnyima kufanya tendo LA ndoa na mme wako (mke na ampe mme haki yake....mke hana amri juu ya mwili wake.....msinyimane) 1korintho 7:3-5
10: Usimjibu vibaya mme wako mbele ya watoto, wageni, au umati wa watu.....subiri mfike nyumbani chumbani ndipo mtatue matatizo yenu
11: Hakikisha unaandaa mavazi ya mme wako kila siku....na kabla hajatoka hakikisha smartness yake kabla hajatoka
12: usiwaache marafiki zako wa kike kua karibu zaid na mme wako usiamin kila rafiki
13: usiharakishe kutoka bafuni wala kwa dressing table hakikisha uko vizuri siku zote maana huko njee mme wako anakutana na wanawake waliotumia muda wao bafuni na kwa dressing table ( usijipambe jitunze)
14: Wazazi, marafiki, ndugu, hawana usemi was mwisho kwa ndoa yako
Wamuzi ni wewe na mmeo
15: Usioneshe upendo kwa mme wako kwa wakati akiwa na kitu mheshim na umtii, kuwa mnyenyekevu na umpende hata kama unamzidi kipato LUKA 21:16
17: Usiwe busy kwa mme wako kumbuka anahitaji umsikilize uwe na mda kwa jili yake usiwe na ubize anapoongea na wewe acha unachofanya na umjib usimjib huku unaendelea na mambo mengine
18: Kama umetowa wazo na likaleta mafanikio usijifanye unaakili kumzidi nyie ni teamwork
19: Mwanamke mvivu hawezi kujali mme hawezi kujua kama mme wangu anahitaji kuoga kula n.k
20: Wanaume hawapendi uchafu hata kidogo.....kuwa msafi kuanzia mwonekano wako, jikoni, mpaka chumba cha kulala
21: kuwa mbunifu kwa mme wako.......vile vitu anavyopenda vifanye kwa ubunifubmkubwa na uvikuze siku kwa siku na asivyopenda viache Mara moja
22: Usilazimishe mme wako afanye vile unataka hata kama ni vibaya......usimuombe vitu vya gharama kuzidi uwezo wake....
23: Jua lugha ya kuzungumza na mmeo akiwa anahasira nyamaza au tumia polite language , ( Tafadhali, naomba, nisamehe, nakupena, Asante)
24: kuwa mkarimu kwa wageni wote, usibague upande wako!
25: MPE glass ya maji mme wako baada ya kufika nyumbani kama ukaribisho.....Fanya hivyo hata kwa wageni waingiao na kutoka malongoni pako
26: Usiwe na marafiki wenye mawazo hasi na mitazamo mibaya na Tabia mbaya zisizo faa kuigwa
27: Ndoa yako ni yathamani kwakadri unavyoithamin, iheshiim na kuilinda
28:Uzao wa tumbo lako ni baraka kutoka kwa Bwana ....wapende watoto wako na uwafundishe njia iwapasayo MITHALI 22:6
29: Hata kama umri umeenda na mmezeeka usipunguze na usiache majukum yako kwa mme wako
30: Mwanamke mwenye maombi ni ngao tosha ndani ya nyumba....Omba siku zote kwajili ya family yako, mme wako na watoto wako....na watu wengine!
BWANA AKUBARIKI UNAPOJIFUNZA!!
Amen
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.