Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
YEREMIA 23;23
Mimi ni MUNGU aliyekaribu asema BWANA
Mimi siyo MUNGU aliye mbali
🍇mpendwa mtu wa MUNGU unaweza kuona hapa kuwa MUNGU wetu anajitambulisha kuwa yeye ni nani kwetu kasema yeye ni MUNGU aliyekaribu tena hayuko mbali lakin ni mara ngapi umeyapeleka matatizo yako kwa marafiki kuliko MUNGU uliyembeba we mwenyewe? maana ukikaa ndani yake Naye ndani yako tumwambie chochote Naye atatusikia..
SASA cha kusikitisha utakuta mama Mume wake hampi Matumizi lakin badala ya kumwambia mzee wa siku anakwenda kumwambia shoga yake tena huyo rafiki yake mwenyewe hajaolewa alafu pili hajaokoka niambie kitu gani kinachoendelea kumbe huyo shoga ako mwenywe ndiye anayemchukua Mume wako
Unagombana na mchumba wako badala ya kumsemea kwa MUNGU uliyembeba unakwenda kumwambia rafiki yako ambaye anamtamani leo kesho
Na kumbe alishawaendea kwa mganga wa kienyeji ili kuhakikisha mnaachana na yeye humchukua ni mara ngapi haya yanatokea
Jifunza kumweleza YESU shida zako Naye atakusikia maana anasema mimi ni MUNGU niliyekaribu mwambie yeye kwanza ukiona unashindwa au huoni msaada kamwone Mchungaji au mwanamaombi unayemjua siyo kwenda kuwaeleza watu wa dunia hii
MAANA wao hawana Jema
Tuache urafiki na watu wa duniani au uwe unamleta kwa YESU vinginevyo mwisho wa siku nawe utajikuta uko nao sawa
Zaburi 113;;7
🍇Humwinua mnyonge kutoka mavumbini
Na kumpandisha maskini kutoka jaani
MUNGU akuinue wewe uliye mnyonge mwenye uhitaji nguvu ya Maombi....kusoma Neno ....kiuchumi...biashara...
MUNGU akutenge na kila baya
Isaya 54;14
Uwe mbali na kuonewa ktk jina la YESU KRISTO
Akuinue wewe uliye maskini wa kiroho na wa kimwili pia
Katika jina la YESU KRISTO Mwana wa MUNGU aliye Hai
Hallelujah Hallelujah!!!!
Shalom!!!
Anthony Damas
0769-020921
damasdogan@gmail.com
7/04/2016