Apostle Darmacy Blog: April 2016 MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Saturday, April 30, 2016

Professional gathering

Hii si ya kukosa hakika.. Huyu speaker hapa ni mmoja kati ya watu ambao napenda kuwasikiliza maana ndani yake ana kitu cha tofauti sana, anafundisha vitu ambavyo anaviishi haswa.

Come let's share experience together... VENUE: VCCT Mbezi beach, Mwai kibaki road.
For directions kindly call numbers on the poster.

KARIBU IBADANI

KARIBU TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD SEMTEMA REVIVAL CHRISTIAN CENTER IRINGA (SRCC)  CHURCH

TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD SEMTEMA REVIVAL CHRISTIAN CENTER IRINGA (SRCC)  CHURCH

Mchungaji ;            0765-752-682.
Mzee wa kanisa      0755536929
  

""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""'

::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
MR$MRS PAUL MLUMBE
NENO LA MCHUNGAJI
ZABURI 108:13
“Kwa msaada wa MUNGU tutatenda makuu, maana yeye atawakanyaga watesiwetu

KARIBU TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD SEMTEMA REVIVAL CHRISTIAN CENTER IRINGA (SRCC)  CHURCH  http://apostledarmacy.blogspot.com/2015/12/karibu-tanzania-assemblies-of-god.

Share na wengine

Mkuu wa wilaya ya Iringa na meya wa manispaa ya Iringa waungana na walimbwende kufanya usafi Hospitali ya Iringa.

Mstahiki Meya wa Manipsaa ya Iringa Mh Alex kimbe na Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela leo waliungana na walimbwende walio shiriki na wale watakao shiriki mashindano ya ulimbwende mjini Iringa kufanya usafi usafi katika hospitali ya Rufaa ya Iringa. Zoezi hilo lilianza saa 2 asubuhi hadi saa 4. Mwandaaji wa ulimbwende Iringa Miss Maya alisema wameamua kuhakikisha iringa inakuwa safi na watafanya usafi kila mara mpaka mji ung'are. Naye Meya wa Manispaa Mh Kimbe aliwaomba wadau wote wajitokee kufanya usafi kwa nguvu zote. Mkuu wa wilaya alisem zoezi hili endelevu na wataendelea kuhimiza usafi kwa nguvu zote . Pia alimuomba mstahiki meya kutunga sheria ndogo ndogo kali zenye faini kubwa kwa wanao kaidi sula la usafi.

Blogger

Damas Anthony
+255769020921

UFUNGUZI WA MASHINDANO YA KITIVO CHUO CHA IRINGA


MASHINDANO YA KITIVO CHUO CHA IRINGA( INTER FACULTY MATCH)

Mashindano ya kitivo yaliyo andaliwa na Serikali ya wanafunzi chuo kikuu Iringa TUSO
MASHINDANO HAYO YAMEFUNFULIWA RASIMI NA MKUU WA WILAYA WA IRINGA MJINI MHE. RICHARD KASESELA
PAMOJA NA UONGOZI WA CHUO

ZAWADI  YA DOLA 100 IMETOLEWA NA MKUU WA WILAYA PIA ZAWADI MBALIMBALI ZITATOLEWA KWA WASHINDI PAMOJA NA WASHABIKI WA UKWELI!!!!!!!

VIWANJA VYA KIGONZILE!!!!!!!

JION HII NI MATCH BAINA YA 
  BEDA- MATH VS FABEC

KARIBUNI SANA!!!!!!!!!!!!!!!

Blogger

Damas Anthony
+255769020921

Follow Ambassador of Africa on Twitter

Follow the Ambassador of Africa on Twitter

Check out @aoafrica1's Tweet: https://twitter.com/aoafrica1/status/726291416452878337?s=08

MASHINDANO YA KITIVO CHUO CHA IRINGA( INTER FACULTY MATCH)

Mashindano ya kitivo yaliyo andaliwa na Serikali ya wanafunzi chuo kikuu Iringa TUSO

UFUNGUZI: MKUU WA WILAYA WA IRINGA MJINI MHE. RICHARD KASESELA

PAMOJA NA UONGOZI WA CHUO

MUDA: SAA KUMI JIONI

ZAWADI MBALIMBALI ZITATOLEWA KWA WASHINDI PAMOJA NA WASHABIKI WA UKWELI!!!!!!!

VIWANJA VYA KIGONZILE!!!!!!!

ASUBUHI HII NI MATCH BAINA YA
BEDA - BAJ

KARIBUNI SANA!!!!!!!!!!!!!!!

Blogger

Damas Anthony
+255769020921

Friday, April 29, 2016

MAONO VS KUONA

MAONO Vs KUONA !!!

Mama Helen Keller ambaye ni kipofu alipata kusema : " Mtu mwenye huzuni kuliko wote Duniani ni yule mwenye MACHO lakini hana MAONO  ."

Maono huamsha msukumo wa ndani wa kufanya lolote linalotakiwa ili kupata kile ambacho unakiona.

MAONO  haya pia hugeuza NDOTO uliyonayo ya kutimiza mambo makuu kuwa halisi kupitia yale utakayoyatenda.

Kumbuka; KUTIZAMA ni kazi ya MACHO bali KUONA ni kazi ya MOYO.

Ubarikiwe

@ BAGATECH

Godwin D. Msigwa
Dodoma
Tanzania
29 Aprili 2016

SERIKALI YA WANAFUNZI YAPUNGUZA TATIZO LA VIMBWETE IRINGA

Serikali ya wanafunzi  chuo kikuu UOI - TUSO  Iringa yakabidhi VIMBWETE kwa uongozi wa Chuo kikuu IRINGA ambavyo vitatumiwa na wanafunzi  katika suala la masomo

Chini ya Raisi wa serikali ya wanafunzi 

Mhe. Joseph Machibya 

Wednesday, April 27, 2016

Blessing Of Heaven

BY THE GOD OF YOUR FATHER WHO WILL HELP YOU,
  AND BY THE ALMIGHTY WHO WILL BLESS YOU WITH
  BLESSINGS OF HEAVEN ABOVE.
                       ( GENESIS 49:25 * NKJV )

  Praise  Jesus
      God's many blessings continue to please us, so we
  should do our best to please God as well!

       We do that by obeying His Commandments and by
  loving our neighbors as ourselves.  For our Savior Jesus
  Christ said, "YOU SHALL LOVE THE LORD YOUR GOD
  WITH ALL YOUR HEART, WITH ALL YOUR SOUL, AND
  WITH ALL YOUR MIND. THIS IS THE FIRST AND GREAT
  COMMANDMENT.  AND THE SECOND IS LIKE IT:
  YOU SHALL LOVE YOUR NEIGHBOR AS YOURSELF.
  ON THESE TWO COMMANDMENTS HANG ALL THE
  LAW AND THE PROPHETS."   ( MATTHEW 22:39-40 )

      So  do your best each day to live by God's
  Commandments, and share your love with others so; THAT YOU
  MAY WALK WORTHY OF THE LORD, FULLY PLEASING
  HIM, BEING FRUITFUL IN EVERY GOOD WORK AND
  INCREASING IN THE KNOWLEDGE OF GOD.
  ( COLOSSIANS 1:10 )

     After all when you do, His blessings will flow abundantly
  to you!  For it is even written that; WHEN A MAN'S WAYS
  PLEASE THE LORD, HE MAKES EVEN HIS ENEMIES
  TO BE A PEACE WITH HIM.   Amen!
  ( COLOSSIANS 1:10 )  &  ( PROVERBS 16:7 )

  With My Love & Prayers,
      your servant
Damas Anthony
+255769020921
damasdogan@gmail.com

Tuesday, April 26, 2016

DEVELOP YOUR INNER ABILITY & BLESS YOUR GENERATION

Vijana wa Dar es salaam na Pwani Mungu ametupa nafasi hii ya kipekee... Mahali ni UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM - UDSM CHAPEL
Date: 01/05/2016

Blogger
Damas Anthony
+255769020921
damasdogan@gmail.com

Men@Work

HOFU YA YASIOJULIKANA By Fred Msungu

Kila mtu mwenye ndoto ya kutimiza kitu fulani kwenye maisha mbele yake kuna ukuta mkubwa sanaa unaoitwa
HOFU YA YASIOJULIKANA

Vijana wengi wanapendana ila wanashindwa kupiga hatua ya mbele zaidi kwenda ndoani kwasababu wana hofu (Itakuaje kama huko mbele kama itatokea nimeshindwa...........!!)

Viongozi wa taasisi wanahofu ya kupiga hatua ya juu zaidi kusukuma maono kwasababu wanahofu (Je itakuaje kama nitaishia njiani na nikishindwa je..! )

Watu wengi wana maono makubwa lakini wanashindwa kupiga hatua kwasababu ya hofu (Je nitaanzaje wakati sina kipato...?Itakuaje nikifeli njiani)

Wazazi wanaanza kupata hofu juu ya hatma ya familia zao,  siku nikifa ghafla na akaunti yangu haina pesa watoto wangu itakuaje...

Wafanya biashara wanahofu ya kuwekeza zaidi kwa kuogopa kupata hasara

Kimsingi hofu kubwa imetanda sana miongoni mwa watu, Lakini Jambo muhimu sana kujua hakuna mtu ambae hajakutana na hii kitu hata hawa unaowaona wewe wamefanikiwa waliwahi kupita mahali kama hapa, Kinachomtofautisha mtu aliefanikiwa na asiefanikiwa ni ile nguvu ya uthubutu (Kuondoa hofu na kujitoa muhanga kufanya)

Hofu itakukosesha mengi....mtu mmoja alitoa maana ya neno SHUJAA....kwamba ni mtu alieko tayari kufa kupigania kile anachokiamini ,Ukiwa mtu wa hofu utakua fungu la kutawaliwa milele

Kwenye CD hii tutajifunza kwa pamoja hatua muhimu za kuchukua ili kuuvunja huu ukuta wa hofu ya yasiojulikana na kuanza kuona ndoto/maono na matarajio yetu yanakua kweli kutokana na nguvu ya uthubutu.

Jipatie nakala yako ya Audio CD Kwa Tsh Elfu 3(3000) tu
0653318117

USIOGOPE

Blogger
Damas Anthony
0769020921
damasdogan@gmail.com

MAGAVILLA'S TAKE -:The history versus the Politics of our Union

Magavilla's Take - The history versus the politics of our Union

HAPPY UNION DAY!!!!!

Having recently graduated from a 'light debate' session (as it was coined) on the role of history in education, I am left wondering "if history has to always portray the past in a good light for it to be worth remembering?" Mr Buyoya of the famed Mkuki na Nyota publishing house, who happened to be one of the discussants at the debate didn't seem to think so and I share this view.

Our obsession with politically correct narratives of our past may be one of our greatest undoings as a people going forward seeing that history is being created everyday.

Let us assume that there are some aspects of the Union story, for example, that are not pleasant or would not make sense in our current political context given that so much has changed since. Does this make the Union any less significant, let alone, legitimate?

I remember during the constitutional review process, in a quest to politicize an otherwise very apolitical process (the Waswahili say 'kukinukisha'), there was an ill fated (thankfully) motion raised for the Union 'deed' to be 'revealed' otherwise it should be considered that our union is null and void as there was speculation in some corners that it didn't exist?

This  obsession with political 'correctness' rids us of the essence of history as a study and a tool to build and preserve our identity as a people. Instead, we reach the level of politicizing solutions for problems that may actually just need a historic revisitation. Even if the said deed, for example, was not immediately available, is that a cause enough for political mayhem? Or should it not be a cause for political resolve to search and find it so that we can proudly tell the story of our founding fathers to generations of Tanzanians to come.

When I look across our boarders, I cannot help but see how Tanzania is different. And a lot of this difference is invested in a history that is being whitewashed in the face of current political tendencies. With all the set backs of our union, the challenges that ensued with Ujamaa and the strong handed leadership style of both Nyerere and Karume, we have, ironically been the most stable country in the multiparty era in this region and beyond.

Yet very few, unfamiliar with our unique history, would naturally appreciate that our past is quite central in understanding our present day reality in as much as it may also be far removed from it.

There are three things that are born out of our unique narrative that I feel we should tirelessly remind ourselves and others of:

1. Tanzania's decision to distinguish State from Government has enabled us to forge in a few decades the type of national unity and stability that has taken other greater nations centuries to achieve. Whereas the State is an ideal (if not idea) we hold onto as a people - a symbol of our sovereignty, our unity, our beliefs; the Government is a tool that is used to uphold this ideal. Whereas the government may be taken to task, put into question and even changed if it fails, the State must never be undermined or trivialized as a matter of principle. Our symbols of the State are our Constitution, The Presidency and its regional designations. Our concept of the State is quite similar to that of Britain's United Kingdom; it is a symbol of the values, heritage and aspirations that inform the social fabric of its people. Hence why the 90years birthday of Queen Elizabeth was celebrated with so much fan fair; they are very aware that it is a tradition that cannot be allowed to fade away without consequences.
2. The Arusha Declaration, quite like the USA's Declaration of Independence, was an expression of who we were as a Tanzanian people. It was more important in defining who we were as a people than even the Constitution that is too verbose and statutory for most. Yet, since the advent of multiparty politics in Tanzania, one of the most visible absentees in the development agenda could simply be this one central thread in weaving together our social fabric - the answer to the question "who is a Tanzanian?"
3. Both Nyerere and Karume, irrespective of the circumstances that brought them into power, lived up to the mark and earned the title of founding father of their respective nations. Their actions, best evidenced in this symbolic gesture that we celebrate today of uniting two of Independent Africa's maiden States, were informed by values far ahead of the political logic of their time. The Pan African dream set out by Kwame Nkuruma was to start with the Independence struggle and culminate with Unity. Only two African Presidents lived this dream out . We now only have Tanzania to remind Africa of the possibles if we put country before self and Africa before all.

As I say, time and again, those who do not value their past (even if they don't particularly like it) can never be secure in their present, let alone, future.

We will forever be cursed as a nation if we cannot find pause and distill the past of our current political hangovers, irrespective of its composition.

We must celebrate our history as our uniting identity and use it to safeguard our future for generations to come who may otherwise not know any better.

Take it or leave it that's Magavilla's take!

Blogger
Damas Anthony
+255769020921
For sure we need celebrate our history event for the aim of keep record for coming generation

Mambo ya kuzingatia ukiwa unavuka Daraja La Mwl. Nyerere

Mambo ya kuzingatia ukiwa unavuka Daraja La Mwl. Nyerere.



Monday, April 25, 2016

Wired for Revolution Mbeya

 MAALUMU KWA WANAFUNZI WA  VYUO NA VIJANA WOTE


Tukutane mbeya ijumaa hii 

VENUE; ROYAL TUGHIMBE

DATE;29/04/2016

TIME; 9;00 Night To Morning

Free Entry


(Jambo lazima litokee)




Ni zamu ya mbeya sasa.

Hebu Niongee kidogo hapa hukusu hii term wired.
Nyumba yoyote unayoiona inawaka taa Usiku kwa nakshi na kupendeza ujue hayo ni matokeo tu ...kabla ya hapo kuna Jambo lilitakiwa kufanyika kwanza
Gari yeyote iliopo barabarani ni matokeo ya Jambo fulani lililofanyika kimchatako

Hata hicho kifaa unachotumia kusoma huu ujumbe sasa hivi ni matokeo ya ya mchakato.... Vitu Vyote hivyo nimevitaja hapa kuna wakati Vilikua plastic au chuma na mabati yasiofaa kwa lolote, Lakini baada ya Jambo moja kufanyika wiring (kusukwa) ghafla majina yake na thamani vikabadilika....kimsingi simu ni plastic na kioo ambavyo ndani yake vimekua WIRED kwaajili ya kazi maalum ya mawasiliano, na toka kifaa hiki kiwe wired thamani yake na jina vikabadilika

Hii inatokea hata kwako ni lazima ukubali kujaa chini na kutengenezwa huko kichwa (wiring) na kuingiza ufahamu kwaajili ya kazi maalum Mungu aliokuitia duniani...Haijalisji watu wanakuonaje kwa sasa ila ukishakua ‪#‎WIRED‬ ghafla jina lako na thamani yako inabadilika ni lazima tu utapanda bei..hakuna namna

CHANGIA MADAWATI OKOA IRINGA NA KIZAZI CHA BADAE

SERIKALI MKOANI IRINGA YADHAMIRIA KUMALIZA KADHIA YA UPUNGUFU WA MADAWATI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza amewaomba wakazi wa Mkoa huo waishio Dar es salaam kujitokeza kwa wingi tarehe 4/05/2016 kuanzia saa 9:00 Alasiri kwenye Ukumbi wa External Jijini humo kwa muktadha wa kuchangia madawati.

Binafsi Naomba Iringa na Tanzania kwa ujumla kujitokeza na kumuunga mkono mkuu huyu wa Mkoa Mwenye dhamira ya dhati kabisa kumkomboa mwanafunzi wa Kitanzania anayeketi chini ilihali anayaandaa maarifa ya kulitumikia Taifa lake.

Wote tunafahamu kuwa mtoto ni mtu mzima anayekua na elimu ndio msingi wake mkuu wa uimara wa mafanikio kimtazamo na kiuchumi pia.

Kwanza nampongeza mkuu wa Mkoa kwa dhati kabisa kuamua uchangiaji huu ufanyike kwenye ukumbi wa kanisa la Maisha ya Ushindi kitendo cha kufanyia kanisani tu kinaleta baraka kwa kila atakayeshiriki jambo hili muhimu, serikali ya Iringa na Taifa vitamtambua kwa dhamira yake ya dhati zaidi sana Mungu wa mbinguni ataongeza maradufu kile ulichokitoa.

Kujitokeza kwako na kuchangia ni kukubali kuifanya Iringa kuwa ya Mfano lakini kumfanya mtoto kuamini kama wazazi na walezi wa kitanzania ni tunu kwa Taifa hivyo naye ana deni kubwa la kulitumikia Taifa na vizazi vijavyo hapo baadae.

HONGERA SANA MAMA MASENZA
HONGERA PIA KWA Iringa DC Mr Kasesela Naamini mnashirikiana vyema na wakazi wa Iringa kuitambulisha Iringa.

Changia Madawati, Okoa Iringa na kizazi cha  Baadae

Credit to
Canal Mathias

UNIVERSITY TOURS

Kwa niaba ya VIJANA EXCLUSIVE CO.LTD na CLOUDS 360 tunakukaribisha kwenye ufunguzi ya UNIVERSISTY TOUR kwa ajili ya kufanya mentorship projects across the country the main aim of this talks are not to inspire but to create a new generation of youth who  are problem solvers.. Mtoa mada atakuwa Mr.Samuel Sasali ambaye ni Tv/Radio presenter, Host wa Clouds 360, Mc, HR consoltancy, Managing Director and Founder of Kiango Media and Event and content developer. Aliacha kazi as a HEAD OF HR department smart (mtandao wa simu) na akaenda kuziishi ndoto zake. It is possible plan not to miss at TUMAINI UNIVERSISTY DAR ES SALAAM COLLEGE (TUDARco) this friday 29/4/2016 from 1600hrs to 1800hours come and LIVE A LEGACY with SAMUEL SASALI this is Powered by VIJANA EXCLUSIVE KIANGO MEDIA ENDLESSTEC AJ GRAPHICS KASAMPAIDA. Follo our pages on instagram @vijanaexclusive@samsasalievents@endlesstec @samsasali @stevengenya for more information

Sunday, April 24, 2016

UMUHIMU WA MWANAUME KATIKA FAMILIA ( MEN@WORK)

Kichwa cha Mwanaume yeyote aliyepo Arusha
The CityOf Praise usikose hili tukio siku ya tarehe 26.04.2016
maana siku hiyo mji utasimama kwa muda kutokana na wanaume kuwa kazini.
Kaka Maxwell Chaila atakuwepo Shemeji Melayeki atakuepo Emmanuel Makwaya
Godfrey James Kalekwa
pia Prezzor Fredy Chavala-The King na Samuel Nathaniel Sasali watakuepo.
Baraka za Bwana ziambatane na wewe! karibuni sana.

Get Fully Charged

Special Student Service at VCCT
Subject; winning Soul
Priest: Rev.Dr. Huruma Nkone
John 3;16

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.