HUU NI MWAKA WA CHRISTINA SHUSHO | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, July 30, 2013

HUU NI MWAKA WA CHRISTINA SHUSHO

HUU NI MWAKA WA CHRISTINA SHUSHO ATWAA TUZO NYINGINE YA KIMATAIFA

Kwa miaka mitatu mfurulizo amekuwa akishiriki mashindano hayo na mwaka huu kaibuka kidedea

Mwimbaji nyota wa gospel nchini mwanamama Christina Shusho ametwaa tuzo ya mwimbaji wa mwaka kwa nchi za Afrika mashariki katika tuzo za Africa Gospel Music Awards zilizofanyika usiku wa kuamkia leo jumapili katika ukumbi wa The great hall chuo kikuu cha Queen Mary jijini London nchini Uingereza.
Shusho amepata tuzo hiyo katika kinyang'anyiro cha waimbaji wapatao tisa kutoka Kenya pamoja na Uganda huku Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na waimbaji wawili, Shusho pamoja na Martha Mwaipaja ambapo hii ni mara ya tatu kwa Shusho kuingizwa katika kinyang'anyiro hicho na hatimaye safari hii kura zimetosha ameondoka na tuzo ambayo imepokelewa kwa niaba yake na mkurugenzi wa GK Ambwene Mwamwaja.
Pamoja na Christina Shusho mwimbaji aliewika zaidi kwakuondoka na tuzo mbili kati ya tatu alizopendekezwa ni mwanamama Ntokozo Mbambo wa Nqubeko ambaye hata hivyo hakuhudhuria tuzo hizo ambazo zilikuwa na kasoro za kiufundi za hapa na pale huku mwimbaji kutoka DRC mwenye makazi yake nchini Uingereza bibie Dena Mwana aliweza kuwasimamisha watu kwa uhodari wake katika uimbaji. Kiujumla waimbaji kutoka Afrika magharibi, Ghana na Nigeria wameondoka na tuzo hizo zaidi ukilinganisha na waimbaji kutoka sehemu nyingine.
Mwaka jana alikuwa blogger Samu amuwakilishe Shusho lakini hakupata mwaka huu kawakilishwa na blogger Ambwene big  up bloggers, pembeni ni kijana Karabo Mongatane wa Afrika ya kusini ambaye amenyakua tuzo ya album ya mwaka kwa wapigaji wa Afro Jazz.
Christina Shusho.

blog hii inampongeza sana Christina kwa mafanikio hayo, Mungu azidi kumnyanyua kutoka hatua moja kwenda  nyingine. Pia hongera sana kwa Martha Mwaipaja kwakuweza kutambulika kimataifa, kitendo cha jina tu kuwemo katika kinyang'anyiro ni hatua kubwa sana kimuziki. Kwa pamoja muendelee kumuomba Mungu awape nyimbo za kuponya na kuwarejesha watu kwa Kristo na hatimaye siku ile ya mwisho wote tuvishwe taji.