Angaza | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, August 9, 2013

Angaza

INUKA UANGAZE

Pastor Frank Andrew, Ufufuo na Uzima.
Ninyi(mliookoka) ni nuru ya ulimwengu. Mathayo 5:14-16. Nuru hiyo mliipata kutoka kwa Bwana Yesu imeandikwa1 John 1:4 'ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikua nuru ya watu' Sema Amen!
Kama umeshampokea Yesu ndani yako kuna uzima ambao ndio nuru ing'aayo sana! Kila siku unapokuja ktk bonde la kukata maneno unapoke maarifa ya rohoni ambayo ndio ile nuru ile ukirudi nyumbani/kazini/shuleni...nuru iliyoipokea ikang'ae kwa jina la Yesu!
Kitabu cha Mathayo 5:14-16 Bwana Yesu anasema kazi ya nuru ni kuangaza! Nuru iliyofichwa uvunguni haina faida yoyote, lakini nuru ikiinuliwa juu itawaangaza wote waliomo nyumbani.
Ndugu zangu dunia imejaa giza; mambo ambayo wanadamu wamekosa majibu, magonjwa yasiyotibika, matukio ya kichawi ambayo serikali hazina majibu yake....kila mahali kumejaa sintofahamu za kila namna..giza limeifunika dunia.
Isaya 60: 1-3 " Ondoka uangaze; kwa maana nuru yako imekuja, na utukufu wa Bwana umekuzukia."

JINSI YA KUINUKA NA KUNG'AA
Kabla nuru haijang'aa gizani hatua ya kwanza ni KUINUKA. Sema kuinuka! Isaya 60:1 imeanza na neno (Ondoka). Kuinuka maana yake ni kutengeneza msimamo sawasawa na neno la Mungu. Kwa mfano wewe ni mgonjwa. Ukijua tu imeandikwa 'kwa kupigwa kwake mliponywa' anza kutengeneza msimamo kwamba sitakufa bali nitaishi, tengeneza msimamo kwa kupigwa kwake niliponywa! Msimamo wako ukikaa sawa sawa na neno la Mungu ujue umeshainuka tayari. Ujue umeshaipata nuru.
Hatua ya pili ni kung'aa. Imeandikwa Yohn 1:5 'nayo nuru yang'aa gizani wala giza halikuiweza. Ukishatengeneza msimamo sawasawa na neno la Mungu anza kupiga majeshi...imeandikwa sitakufa bali nitaishi...nakataa kufa kwa jina la Yesu, mauti nakufunga, nakusambaratisha kwa damu ya mwanakondoo.....imeandikwa mabaya hayatanipata mimi wala tauni hatakaribia hema yangu.....najitenga na mabaya yote kwa jina la Yesu.....imeandikwa ndani yake tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai wetu....mimi nitaishi kwa jina la Yesu.Imeandikwa mkaribieni Mungu, mpingeni shetani nae atawakimbia.....imeandikwa hulituma neno huwaponya! ...kulingana na giza lililofunika maisha yako/njia yako/ mazingira yako ya wakati huo.

MIFANO YA WALIOANGAZA
1. I samwel 17: 17--
Goliati alipoinuka kambia yote ya Isrel ilijaa giza(hawakujua cha kufanya hofu kuu iliwafunika) alipokuja Daudi akatengeneza msimamo akainuka akampiga Goliati nuru yake ikang'aa mbele ya majeshi yote ya Israel

2. 2wafalme 7: 3---
Isrel ilikua kwny njaa, wamehusuriwa na adui.pande zote hawajui cha kufanya (giza). Wakoma kumi wakapata nuru/ maarifa wakatengeneza msimamo kulifuata jeshi ya washami kishindo chao kikawa kama radi wakang'aa kwa ushindi mkuu kwa jina la Yesu!

BARAKA BAADA YA KUINUKA KUANGAZA
Isaya 60:4-22
- utajiri wa mataifa utakuwasilia
-wote watakuja kutoka sheba wataleta dhahabu na uvumba
-kondoo waume wa Nebayothi watakutumikia
-wageni watajenga kuta zako
-kila taifa na ufalme wa watu wasiotaka kukutumikia wataangamia
-utakua fahari ya milele
........and so much more