Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
baadhi ya piha za Askofu Moses Kulola alipokua akiendelea na matibabu kabla ya Bwana Kumtwaa |
baadhi ya picha za mikutano yake
Historia ya Askofu .Dr Moses Kulola kwa ufupi.
Alizaliwa mwezi Juni 1928 katika familia ya watoto kumi na kufariki
mwezi Agosti 2013 katika hospitali ya AMI (African Medical Investments)
iliyopo Slipway jijini Dar es Salaam. Alisomea shule ya msingi ya Ligsha
Sukuma, halafu taasisi ya usanifu. Alibatizwa kikristo mwaka 1950
katika Kanisa la AIC Makongoro. Alimwoa Elizabeth wakawa na watoto kumi.
Alifanya kazi ya uchungaji wa kanisa la AIC miaka ya 1961-1962 akaendelea na masomo ya kitheolojia. Baada ya kujiunga na dhehebu la kipentekoste alifanya kazi ya uchungaji ndani ya kanisa la TAG miaka ya 1966-1991. Akajitenga na kanisa hilo na kuanzisha kanisa jipya mwaka wa 1991, kanisa la EAGT (kwa Kiingereza Evangelistic Assemblies of God) akawa askofu wao wa kwanza tangu mwaka uleule.
Na taarifa ambazo zimefika hivi punde
zinaeleza kuwa mjukuu wa Moses Kulola, Flora Mbasha, amezimia kwa muda
sasa na anashughulikiwa na madaktari hospitalini, maombi yako
yanahitajika ili apate kurejea kwenye hali ya kawaida.
Mwili wa Askofu Kulola tayari umehamishwa kutoka hospitali ya AMI kwenda
Hospitali ya Kumbukumbu ya Hurbet Kairuki iliyopo Mbezi jijini Dar.
Mwili utasafirishwa kuelekea Mwanza, na mipango ya shughuli hiyo bado
inafanyika.
Kwa mujibu wa Emmanuel Mbasha, mume wa Flora Mbasha (mjukuu wa marehemu Kulola) uwa maandalizi bado yanaendelea na taarifa rasmi aitaendelea kutolewa kwa kadri ya muda unavyosonga.
Una habari kuwa Askofu Kulola hakuwahi kunyoa nywele tokea mwaka 1966? Bofya hapa ili kujua
kuhusiana na hilo. Na pia katika utumishi wake, EAGT imewahi kumkabidhi gari mnamo Novemba 2012. |