fedha | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Saturday, August 10, 2013

fedha

Madhara ya Fedha za Noti na za Sarafu kwa afya ya binadamu.

Katika moja ya tafiti iliyofanywa hivi karibuni imebainisha kua, fedha ni hatari kwa afya ya binadamu kwani huweza kusababisha madhara mbalimbali kiafya ambapo katika uchunguzi huo, imebainika kuwa fedha za noti na zile za sarafu huweza kukusanya na kusambaza vimelea vya magonjwa hatari kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

Kuhakikisha ukweli wa jambo hilo, moja ya ripoti imetolewa baada ya mahojiano na mtaalam wa magonjwa mbalimbali, Dk. Richard Marise na kusema kuwa tafiti mbalimbali duniani zimeripoti kuhusu vimelea vinavyoweza kusafirishwa kupitia fedha ambavyo ni Staphylococcus Aureus, Escherichiacoli,Fecal Bacteria na sumu nyingine. 
“Tafiti nyingi zilizofanywa katika nchi zilizoendelea, zimegundua kuwa vimelea hatarishi kwenye fedha hasa za noti ambapo vingi hutokana na uchafu utokao kwa mwanadamu mwenyewe kwa mfano; kinyesi, mkojo na jasho. 

“Vimelea hivyo kwa pamoja husababisha magonjwa kama boils (magonjwa ya ngozi) pneumonia, toxic shock syndrome (homa za sumu mwilini), diarrhea (kuharisha), gum diseases (magonjwa ya fizi), homa za vipindi na meningitis (uvumbi wa bongo) ambao kama hakuna matibabu huweza kusababisha kifo,” alisema Dk. Richard. 

Akifafanua jinsi fedha zinavyoweza kusafirisha magonjwa, daktari huyo alisema fedha huweza kushikwa na mtu asiyeosha mikono yake kwa maji safi na sabuni baada ya kutoka kujisaidia, kisha hela hiyo huweza kutua mikononi mwa mtu mwingine ambaye huacha jasho lake na kuongeza vimelea vya magonjwa mengine juu yake.
Mzunguko huo unaweza ukawa mkubwa kufikia hatua ya vimelea kusambaa kwa mamilioni ya watu hivyo kuifanya jamii kuwa katika hatari zaidi ya maambukizi ya ugonjwa husika. 

Dk. Richard alikazia kuwa, maambukizi hutokea kama mtu aliyeshika hela hizo atagusa sehemu zenye unyevunyevu kwenye mwili wake kwa mfano jicho, mdomo na pua ambapo vimelea hivyo vitapata nafasi ya kuingia ndani ya mwili. 

Katika mazingira ya kawaida, fedha zenyewe huhifadhiwa katika mazingira hatarishi ambapo kuna mifano ya watu kuhifadhi fedha ndani ya nguo za ndani au kwenye matiti (akina mama zaidi).
Fedha pia huweza kudondoka kwenye uchafu wa aina mbalimbali na kuokotwa kisha ikatumika tena. 

Imeelezwa kuwa, ukiachilia mbali kubeba vimelea vya magonjwa, fedha zinaweza kubeba sumu na madawa ya kulevya juu yake ikiwa itapitia kwenye mikono ya mtu aliyeshika vitu hivyo. 

“Ni vyema ukatumia fedha kwa uangalifu, usiweke hela mdomoni na ukumbuke kuosha mikono yako kila mara kwa maji na sabuni ili kujikinga na maambukizi,” alitahadharisha Dk. Richard.