King Majuto | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Saturday, September 7, 2013

King Majuto

By Apostle Darmacy Damas Anthony

Miaka 55 ya uigizaji, aeleza alivyopata jina la Majuto

Umaarufu wa mtu hauji bila kuwepo sababu, kisa au chanzo hata kumfanya mhusika kutambulika na kujulika katika eneo fulani, jamii hata taifa.
Hili huwatokea watu katika fani au tasnia mbalimbali mfano siasa, uanaharakati, mchezo wa soka, filamu na maigizo.
Ndivyo ilivyo kwa Amri Athumani maarufu King Majuto, ambaye ni mwingizazi na mchekeshaji maarufu nchini anayetambulika na kutajwa kirahisi hata na watoto katika Tanzania hata nje ya mipaka yake.
Alivyoanza kuigiza
Majuto anaeleza alivyoanza kuigiza akisema: “Nilianza kuigiza mwaka 1958 nikiwa na umri wa miaka 10. Nilikuwa darasa la pili, Shule ya Msingi ya Msembweni mkoani Tanga, kuna siku tukiwa darasani mlevi mmoja alikuwa akipita karibu na shule yetu, huku akipiga ngoma kwa nguvu.”
Anaongeza:”Mwanafunzi mmoja akajiunga kucheza huku mlevi yule akizidi kusogea na kuongeza mdundo, mwalimu aliyekuwa akifundisha alikasirika na kumtuma mwanafunzi mwingine kumfukuza yule mlevi, lakini badala ya kumfukuza mlevi na kumwita mwanafunzi anayecheza naye akajiunga kucheza.”
Anasema kuwa mwalimu alivyoona hivyo, alitoka nje ya darasa kwa kishindo na kwenda kumfukuza yule mlevi, lakini cha kushangaza wakati mwalimu alipomkaribia yule mlevi alianza kutingisha mabega yake kufuatisha mdundo ya ngoma, badala ya kumfukuza mlevi naye alijiunga na kuanza kucheza.
“Baada ya dakika tano kama shule nzima ilikuwa ikicheza ngoma, na baada ya hapo niliazimia kuwa msanii kwa kuwa sanaa ilimlainish hata mwalimu wetu aliyekuwa mkali kupita kiasi,” anasimulia Majuto.
Anaongeza kuwa mwaka 1966 alimaliza darasa la nane na mwaka uliofuatia alijiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ambapo walikuwa wakilipwa Sh20 na kufanya kazi hadi mwaka 1970, alipolazimika kuacha kwa sababu alikosa nafasi ya kufanya sanaa kama ndoto zake zilivyokuwa zikimtuma tangu utotoni