 |
Darmacy Na Gerad Hando wa Jahazi Ya CLAUDS FM
|
Sehemu
ya vijana waliojitokeza kwa wingi kwenye semina hiyo ya Fursa kwa
vijana wakifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa ikijadiliwa ukumbini
humo.
Muwakilishi
wa NSSF-Makao Makuu Bwa,Salim Khalfan akizungumza mbele ya vijana
mbalimbali waliojitokeza kwenye semina ya Fursa kwa vijana,iliofanyika
mapema leo kwenye ukumbi wa chuo cha Teofilo Kisanji kilichopo maeneo ya Block T-Mama John mkoani Mbeya. Semina hiyo iliyoandaliwa na Clouds Media Group,imefadhiriwa na shirika la NSSF;Zantel,MaxMalipo,Lake Oil,TPSF
 |
Angel Na Millad Ayo |
Huduma za Max malipo ni Electronic pay ment(malipo ya ki-mtandao) kama vile vocha,kodi za magari,Umeme (luku)
 |
Tonny
|
 |
Charles na Mjomba ktk pozi
|
.
Mmoja
wa Vijana Wajasiliamali ,ambaye ana mradi mkubwa wa kuuza juisi,Gasto
Sony mkazi Uyole mkoani Mbeya,akieleza zaidi kwa vijana wenzake
waliojitokeza kwa wingi kwenye semina hiyo,namna ambayo ameweza kuitumia
fursa alioipata na kuwa mjasiliamali wa kuuza juisi kisasa kabisa.
Mkurugenzi
wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti,Bwa.Eprahim Mafuru akizungumza
na wakazi wa Mbeya (hawapo pichani) waliojitokeza kwenye semina ya
Fursa kwa vijana,filiofanyika leo asubuhi ndani ya ukumbi wa chuo cha
Teofilo Kisanji (TEKU),kilichopo maeneo ya Block T-Mama John mkoani
Mbeya.Kampuni ya Serengiti ndio wadhamini wakuu wa tamasha la Fiesta
2013 linalotarajiwa kufanyika jioni ya leo kwenye uwanja Sokoine.
 |
Anasikiza kwa Makin fursa
|
Baadhi
ya vijana mbalimbali kutoka ndani ya mkoa wa Mbeya wakifuatilia mada
mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa kwenye semina hiyo mapema leo asubuhi
kwenye ukumbi wa chuo cha Teofilo Kisanji kilichopo maeneo ya Block
T-Mama John mkoani Mbeya.
 |
Mpoto akiwa anasema kuhusu fursa
|
Semina ya Fursa kwa vijana ikiendelea
Mkali
wa kughani mashairi hapa nchini,Mrisho Mpoto akifafanua jambo mbele ya
wakazi mbalimbali wa mji wa Mbeya,alipokuwa akiielezea mada mojawapo
iliyohusiana na fursa mbalimbali zilizomo ndani ya mkoa huo namna ya
kuzitumia,Semina hiyo imefanyika leo ndani ya ukumbi wa chuo cha Teofilo
Kisanji kilichopo maeneo ya Block T-Mama John mkoani Mbeya.
 |
Watu walikuwa wengi |
 |
Mamimaia ya wasikilizaji |
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti,Bwa.Eprahim Mafuru
akizungumza jambo na msanii wa muziki wa kizazi kipya aitway Niki wa
Pili ndani ya semina ya Fursa kwa vijana.
 |
Pia wandishi wa habari walikuwepo |

Muwakilishi
kutoka shirika la TPSF,Bwa.Louis Accaro akifunguka kuhusiana na mambo
ya fursa kwa vijana na nanmna ya kuzichangamkia mara zipatikanapo.
| |
Antony na Verena
|
 |
Tony
|
 |
| Darmacy |
 |
Happy Na Darmacy
|
 |
Grace ktk pozi
|
.jpg) |
Grace na Darmacy
|
Semina
ya Fursa kwa vijana ikiendelea.Semina kama hii imekweíshafanyika kwenye
mikoa ya Kigoma,Singida,Tabora,Mtwara na leo mkoani Mbeya.
 |
| Ukumbi Ambapo tukio limetokea |
 |
| MC wa Tukio Alikuwa Millad Ayo |
Kilomo cha kisasa kinalipa sana pia kinaongeza kipato
 |
Ukumbi ulijaa mpaka juu (Angel akiwa amepata siti Ya juu)
|
Fursa zilozopo kwa wanafunzi
Kazi za reserch,hospitality na kazi za huduma kwa jamii
Darmac na Gerad Hando wa Jahaz ya Clauds Fm
|
 |
| Iman Na Millad |
Alisema kwa Mbeya wakulima wanatoa tani laki 4 sawa na 40% ambapo Tanzania ina hitaji tani Milion 4
pia kupitia storage(kuweka ghalani),processing kuzalisha bidhaa zaid ya moja mfano unga ,mapumba kwa ajili ya klishia mifugo pia pumba za mpunga kwa kuch
omea matofali
 |
| Kijana Aliye Tembea toka Mbeya kwenda DAR kwa mguu kwa lengo la kutangaza fursa | | | | | | | | | | | | | | | | | | |
|
|
|
|
|