Glorious Worship Team Mwanza | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Saturday, October 19, 2013

Glorious Worship Team Mwanza

Ni Katika chuo kikuu cha SAUT Mwanza

Na Mwandishi wetu wa apostledarmacy.blogspot.com

Usiku wa kuamkia leo jumamosi wanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza wamefanya mkesha wa kusifu na kuabudu ambao ulipewa jina la Revival flames Campus Night, shughuli hii ilienda sambamba na mahubiri, lakini nafasi kubwa ilitawaliwa na Sifa na kuabudu, huku kundi makini nchini la Glorious Worship Team(GWT)  kutoka jijini Dar es salaam chini ya kiongozi wake Emanuel Mabisa  waliweza kukata kiu ya mashabiki wao na wapenda muziki wa injili jijini humo kwa huduma njema waliyoifanya.

Paul Clement wa kundi la Glorious Worship Team akiongoza timu nzima ya GWT na mamia ya watu katika kumsifu Mungu ndani ya Campus Night SAUT.

GWT wakiwasha moto wa injili.
Wana SAUT walikubali, kila kitu ilikuwa kwaajili ya Mungu.
Ima bass wa GWT akiliungurumisha viwanjani hapo.
Emmanuel Gripa wa GWT akikung'uta gitaa la solo.

Muziki ukinoga, unajisahau hata pakukanyaga kama mpigaji huyu wa GWT akaamua kucheza juu ya spika.
TAFES Praise team na vikundi vingine vilianzisha shughuli za kusifu na kuabudu, na baadae shughuli ilikuwa chini ya uongozi wa kundi la Glorious Worship Team, kutoka Dar es salaam.
Tazama picha za kundi hili wakihudumu katika picha zilizochini.

Kwakweli ilipendeza sana.