Semina ya umisheni Jijini MBEYA Ni katika makanisa ya
T.AG. Sayuni Mponja Mtoni kwa Mchungaji
Samweli Mpayo na Kanisa La T.AG Calivary Temple Uyole Kwa Mchungaji Daud
Mwalonde
 |
Mchungaji Samweli Mpayo Na Missionary Mr. Laurian Sumaye
|
Kutoka Kanisa la T.AG. Sayuni Mponja Mtoni kwa Mchungaji Samweli Mpayo Semina
iliendeshwa na Missionary Mr. Laurian Sumaye
ambapo alifundisha juu yaUmisheni uinjilisti ,ufuatiliaji na ufuasi,Uchumi Kibiblia pia
mtazamo wa biblia kuhusu fedha
Semina ilianza tarehe 18;10;2013 siku ya ijumaa na
kumalizika mnamo tarehe 20;10;2013 siku ya jumapili.
Katika semina iyo
Missionary Mr. Laurian Sumaye
alifundisha Somo la “UMUHIMU WA UMISHENI “
Ambapo alisema ni kuwafikia watu ambao hawajafikiwa na
injili ulimwenguni kote na hili ni agizo kutoka kwa BWANA ya kwamba tuenende ulimwenguni kote na
tukahubiri injili kwa mataifa yote.
“Mathayo 28:19”
Aidha alifafanua jinsi gani umisheni una umuhimu kwa mkristo
·
Ni kuonyesha utii juu ya agizo la Mungu kwa
kuwaleta watu Kwa Bwana waliopotea ili wasiende katika motoni bali wamjue Yesu
kama Bwana na mwokozi wa maisha yao Siku zote za maisha yao hapa duniani. Marko
16;15 na Ezekieli 22;30
·
Kulipa
deni maana tulipokea bure nasi tutoe bure Mathayo 10;8 Ezekieli 13;18
Ni namna ya
kumleta Mungu katika Familia zetu
Ufunuo 7;9
·
· Ni wajibu wa kila nafsi kuzaa Ayubu 8;9
Namna ya kufanya
umisheni
Kila mtu anaweza kufanya umisheni kwa njia moja au nyingine
kwa njia ya maombi na maombezi
2 koritho 2;10-16
kuwafanya wale waliopotea kufunguliwa kwao.Kujitoa kwa mali zetu, muda na huduma zetu yote kwa ajilli
ya bwana. Rumi 10;15 na Korintho 9;7
 |
Missionary Mr. Laurian Sumaye
|
 |
| Mchungaji Daudi akiwa na Apostle Darmacy |
 |
| Kushoto ni Feston , Benard na Mbesu |
 |
| Mguso wa roho mtakatifu |
 |
| Picha ya pamoja ya wachungaji |
 |
| Mr. sumaye Pamoja na Mr. Kaaya |
 |
| Kushoto ni Mchungaji Daudi Mwalonde wa T.A.G. Calvary Temple Uyole na Mama mchungaji Pamoja na Mr, Sumaye |
 |
| Mr. and Mrs Sumaye |
KAMA UNA UHITAJI WA MAFUNZO
YA
UMISHENI/UINJILISTI,UFUATILIAJI NA UFUASI PIA
UCHUMI KIBIBLIA AU
MTAZAMO WA BIBILIA KUHUSU FEDHA
Wasiliana na
Missionary Mr. Laurian Sumaye
P.O.BOX 1993 Mbeya
+255767-841782
+255713-841782
Toa Maoni Hapa Chini