Kambi hilo lilifanyika katika kanisa la Ikuti Christian Center (ICC) kwa Mchungaji Dr. Donald Mwanjoka
 |
Katikati ni Mchungaji Dr. Donald Mwanjoka
|
Ambalo lilihudumiwa na Mkurugenzi vijana Taifa Mr. Sylvester Putaputa
 |
Mkurugenzi vijana Taifa Mr. Sylvester Putaputa
|
Pamoja na Mkurugenzi vijana Jimbo Mch, Thobias Tambikeni Wa Kanisa la T.A.G. Forest Mbeya.
 |
Mkurugenzi vijana Jimbo Mch, Thobias Tambikeni Wa Kanisa la T.A.G. Forest Mbeya.
|
Pia kambi ilo lilipambwa na mwimbaji wa nyimbo za injili Ambwene Mwasonge
 |
Ambwene Mwasonge akimtukuza Bwana
|
 |
Baadhi ya Wachungaji walioshiriki
|
 |
Mkurugenzi wa CAS SECTION YA SOKO MATOLA Mr. BAHATI MBWILO
|
 |
Ni siku Baada ya Uchaguzi wa August 9,pale UDOM wa kanisa la TAG,jimbo la Nyanda
za Juu Mbeya lilipata askofu Mpya Dr Donald Mwanjoka ambaye
alisimikwa na hivyo kutangazwa rasmi kuwa ndiye askofu wa Nyanda za juu
Mbeya.
|
.JPG) |
Ikuti Christian Center (ICC) kwaya |
.JPG) |
Kwaya ya ICC |
 |
Mwandishi wa /apostledarmacy.blogspot.com na Ambwene Mwasonge
|
Picha http://apostledarmacy.blogspot.com
Toa Maoni Hapa Chini