Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
![]() |
Baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Tumaini waliokwenda Afrika ya kusini wakirekodi video jijini Pretoria. |
![]() |
Tumaini wakiwa sawa kwa rekodi karibu na Ikulu ya Rais jijini Pretoria. |
![]() |
Wababa wakiwa ng'aring'ari na pamba mpya kabisa waliyoibatiza jina la Tembisa sehemu waliyofikia, sare ambayo imevaliwa kwa mara ya kwanza katika ziara hiyo. |
![]() |
Baadhi ya wababa kwaya ya Tumaini wakirekodi video mpya. |
![]() |
Wachina nao wakajichanganya utamu wa muziki ulipozidi. |
![]() |
Kila pozi limerekodiwa. |
![]() |
Zoezi la kurekodi lilianzia kanisa walipofikia. |
![]() |
Maombi ya pamoja kabla ya kuondoka kanisani hapo. |
![]() |
Usafiri ukiwa tayari kuwapeleka Pretoria. |
![]() |
Waimbaji wakiwa nje ya ubalozi wa Tanzania nchini Afrika ya kusini. |
![]() |
Mwenyekiti wa kwaya Dkt. Emmanuel Mtangoo akisaini kitabu cha wageni. |
![]() |
Dkt. Emanuel Mbennah aliyefanikisha Tumaini kufika bondeni akisaini kitabu cha wageni ubalozini. |
![]() |
Picha ya pamoja nje ya ubalozi. |
![]() |
Mwenyekiti wa kwaya Dkt Emmanuel Mtangoo na mkewe Anna wakiwa katika pozi. |
![]() |
Mdau mkuu wa GK na mmoja kati ya masolo wenye viwango wa Tumaini Choir, Kusamba akiwa katika pozi Pretoria. |
![]() |
Waimbaji wa Tumaini wakiwa nyumba aliyokuwa akiishi zamani Rais Nelson Mandela kitongoji cha Soweto. |