Aliyeuchanganya ulimwengu kwa kutangaza tarehe ya mwisho wa dunia Afariki dunia ghafla | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, December 30, 2013

Aliyeuchanganya ulimwengu kwa kutangaza tarehe ya mwisho wa dunia Afariki dunia ghafla

Mtu aliyeuchanganya ulimwengu kwa kutangaza tarehe ya mwisho wa dunia akaweka mabango katika kona mbalimbali za jiji la Dar es salaam, na kutoa matangazo kwenye vyombo vya habari Bw.Harold Camping, amefariki dunia.

kwa mujibu wa Gazeti la jibu la maisha katika matoleo yake ya nyuma lilichapisha mkasa huo uliozua tafrani kubwa, wakati muda uliotarajiwa wa mwisho wa dunia ulipowadia bila ya tukio lolote kutokea, lakini baadae mtu huyo alijitia moyo na kurejea tena mbele ya wanahabari na kutoa ufafanuzi.

Kulingana na tangazo la wanafamilia wa Bw. Camping, alifariki dunia wiki iliyopita baada ya kuanguka nyumbani kwake, huku maelfu ya watu wakimiminika kushuhudia, huku wengi wakiwa hawaamini tangazo hilo la msiba.

Mwaka 2010, kituo cha Redio kinachomilikiwa na mtu huyo kilitangaza kuwa mwisho wa dunia ungekuwa mei 21, 2011. Kampeni kubwa ya kubandikwa kwa mabango duniani ikafanyika, ndipo mabango yenye utisho mkubwa yakaonekana katika maeneo ya Ubungo, Mwenge, Sinza na kwingineko.

Wanafamilia wamesema ndugu yao alifariki jumapili jioni akiwa na miaka 92. Mwajiliwa mmoja wa Radio ya Bw. Camping alithibitisha kutokea kwa kifo hicho na kuongeza kuwa amekuwa mdhaifu tangu mwaka 2011 alipopata shambulio la damu.

Inadaiwa kuwa kutotimia kwa unabii katika tangazo lake duniani kote kuwa dunia ingekwisha Oktoba 2011, baada ya kanisa kunyakuliwa Mei 2011, umemkera na kumpa msongo wa mawazo.

Mwaka 2011 haikuwa mara ya kwanza kutoa unabii feki, awali mwaka 1994 alikwisha kutabiri kuja kwa mwokozi kwa mara ya pili na hapo aliweza kuteka akili za watu na kuwafanya wengine wengi kuamini maneno yake kutokana na nguvu kubwa aliyokuwa akiitumia kueleza tabiri zake hizo.

Akiongea kwenye kituo chake cha radio, mwaka 2012 mara baada ya unabii wake kutotimia alisimama kuwa alikosea kutangaza tarehe hiyo kwani ilikuwa ina makosa katika kujumuisha tarakimu, akakiri kutenda dhambi na kuiacha huduma yake kando.

Mkanganyo huo ulimpelekea kuuza baadhi ya vifaa katika kituo chake cha radio na kuwaachisha kazi wafanya kazi wengi. Baadhi ya mitandao duniani ilimuelezea Bw. Camping kama nabii wa uongo, huku wengine wakumuelezea kuwa ni sehemu ya wale wanao papatikia kutoa nabii bila kuzithibitisha.

Wakala wake aliyekuwa akisambaza mabango ya mwisho wa dunia jijini Dar es salaam, Mbeya na kwingineko hakuwa tayari kuzungumzia tukio hilokwakuwa miongoni mwa nabii za mtu huyo ilikuwa ni kunyakuliwa hai na sio kufariki na kuzikwa kama wanadamu wengine. Mtu huyo amekuwa akimiliki kituo cha radio chenye kutangaza karibu dunia nzima tangu mwaka 1950.

Source:Jibu la maisha