...Get Moving Forward
Watu Zaidi ya 100 walimpa Bwana Yesu Maisha yao kwenye
Mkesha Huo.
NI tukio Kubwa yenye Kukusanya wanafunzi kutoka katika Vyuo Vikuu Nchini
yenye Jina la Campus Night yenye lengo la kuvuna watu kuja kwa Yesu na hii ni Kutoka Mkoa wa Mbeya
Ni mkusanyiko mkubwa inayokadiriwa kukusanya wanafunzi zaidi ya 1500 ilikuwa na ujimbe yenye jina la "Get Moving Forward" Ambapo ilipambwa na mambo mbalimbali kama vile Waimbaji wa Nyimbo za Injili kama Neema Mwaipopo
anaye pendwa sana katika
Mkoa wa Mbeya kama mtoto wa nyumbani.
 |
Neema Mwaipopo
|
Pia Band Kongwe ya New Life Band ilikuwepo
Pamoja na Mass Choir
iliyoongoza kusanyiko hilo
Kwa pamoja walifanya huduma ya kusifu na kuabudu ambapo utukufu wa Bwana ulidhilika kwa watu wote walikuwepo katika mkusanyiko huo uwepo wa Mungu uliangaza kwa namna ya
tofauti na ajabu sana hakika ilikuwa njema .
Watumishi
wa Mungu walio hudumu ni Pastor Joel Nanauka alikuwa ni mmoja Ya Mnenaji siku hiyo
 |
Pastor Joel Nanauka |
Bishop Nicodemus nae alikuwa mnenaji katika kusanyiko hilo,
 |
Bishop Nicodemus Shaboka Jr |
Dr. Zabdiel Kimambo nae alikuwa
mmoja wa wanenaji
Dr. Zabdiel Kimambo akiwa na mke wake
Na Ze Blogger Samweli Sasali alikuwa alikuwa akiongonza shughuli iyo kama MC
 |
Samweli Sasali
|
 |
Sasali katika huduma
|
Baadhi ya Wanafunzi wa vyuo wakifanyiwa maombi
 |
Mwandishi Athony Darmacy wa apostledarmacy.blogspot.com
|
Picha hizi ni kwa Hisani ya Samweli Sasali na Anthony Darmasy Mwandishi (blogger) wa http://apostledarmacy.blogspot.com/
Uwaweza ku share na rafiki zako
Pia endelea kufuatilia http://apostledarmacy.blogspot.com/ Kwa habari na Matukio Pamoja na ku Like page yetu katika Ukurasa wetu wa Facebook wa apostledarmacy.blogspot.com
Toa Maoni Hapa Chini