HOMA YA NGURUWE MBEYA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 27, 2014

HOMA YA NGURUWE MBEYA

Kumetokea Mlipuko wa Homa ya Nguruwe (Swine Fever) wilaya za Rungwe, Chunya na Mbeya, Mkoani Mbeya.

Ugonjwa wa homa ya nguruwe umelipuka tena mkoani Mbeya na kuua zaidi ya nguruwe 900 katika wilaya za Mbeya na Rungwe.

Mganga Mkuu wa Mifugo Mkoani Mbeya, Solomon Nong'ona akizungumza na  alisema, ugonjwa huo umerudi tena baada ya kuzuka kwa mara ya kwanza Januari mwaka huu na kutokomezwa.

Alisema kufuatia kuzuka tena kwa ugonjwa huo, serikali kupitia sekta ya mifugo imepeleka dawa mkoani humo ambazo zinasaidia kupunguza kasi ya kuenea.

Nong'ona  alisema kufuatia kuzuka kwa ugonjwa huo wananchi nao wanajitahidi kununua dawa hizo ili kuudhibiti na kuwakinga nguruwe wanaowafuga.

Alisema ugonjwa wa homa ya nguruwe  bado haijathibitika kuwa na madhara kwa binadamu, hivyo wananchi wanaruhusiwa kula nyama ya nguruwe lakini aliyechinjwa katika machinjio rasmi na kuthibitishwa na daktari wa mifugo.

"Nguruwe hawa wanaweza kuliwa lakini wananchi wawe waangalifu kula nyama hizo kwani kula myama ambaye amekufa mwenyewe ni hatari kwani huenda amekufa kwa ugonjwa mwingine," alisema Nong'ona.

Alisema ugonjwa huo ulianza katika wilaya ya Mbeya na baadaye katika wilaya ya Rungwe.
 
Aidha Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani amepiga marufuku usafirishaji nguruwe nchini bila kibali cha wataalamu wa mifugo, lengo likiwa ni kuzuia kuenea homa ya nguruwe iliyoripotiwa mkoani Mbeya. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Maendeleo ya Migfugo na Uvuvi Dr. Kamani

Dk Kamani alitoa agizo hilo kwenye ziara mkoani hapa juzi, baada ya kutembelea Kituo cha Ufugaji Nguruwe cha Ikwete, Halmashauri ya Mji wa Makambako, wilayani Njombe.

“Ni marufuku kwa mtu yeyote kusafirisha nguruwe bila kibali kutoka kwa daktari wa mifugo, hatupendi kuona ugonjwa huu ukienea,” alisema.

Dk Kamani alisema iwapo Serikali haitachukua hatua za makusudi, ugonjwa huo utaenea zaidi na kusababisha gharama kubwa kuuzuia. Hatua hiyo inakuja baada ya kuripotiwa kutokea mlipuko wa homa ya nguruwe (Swine Fever) wilaya za Rungwe, Chunya na Mbeya, mkoani Mbeya.

Daktari wa Mifugo wilayani hapa, Katemba alisema wamepokea agizo hilo ambalo linakwenda sambamba na sheria ya wanyama ya mwaka 2003, ambayo inazuia kusafirisha mifugo bila kibali cha daktari wa mifugo, hivyo agizo hilo ni utekelezaji wa sheria.

“Kauli hii ya waziri tunaipokea maana ipo kwenye sheria namba 17 ya magonjwa ya wanyama wa mifugo ya mwaka 2003, siyo nguruwe tu bali mifugo yote inapaswa kusafirishwa kwa kibali,” alisema Dk Katemba.