IBADA ZA WATOTO | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, March 13, 2014

IBADA ZA WATOTO

Ibada za Watoto ziboreshwe Makanisani

Katika makanisa yetu mengi hapa nchine na  kwingineko duniani, kila kunapokuwepo Ibada ya watu wazima ni lazima pia iwepo na Ibada ya watoto. Na watoto hawa ni wale ambao hufuatana na wazazi wao kweneda ibadani (kanisani). Huu ni utaratibu mzuri ambao unawafanya watoto kujifunza maneno ya Mungu kupitia walimu ambao wamefundishwa namna ya kukaa na watoto na kuwafundisha. Kwa hapa Jijini Dar es Salamu pia  ibada hizi hufanyika katika makanisa mbalimbali.

Ibada ya Roho Mtakatifu iliyoongozwa na Dr huruma Nkone

Mmoja wa waalimu wa VCCT akifundisha watoto

Leo tumekuta nao na watoto wa shule ya Jumapili katika kanisa la TAG – Vctory Christian Centre Tabenacle chini ya mtumishi wa Mungu Dr Huruma Nkone lililoko Mbezi Beach, wilayani kinondoni.

Watoto wa sunday school wakiwa wanajifunza kwa njia ya kuchora

Kama ilivyo katika makanisa mengi hapa mjini kuwa ni ibada zaidi ya moja kutokana na watu kuwa wengi kwenye makanisa haya, pia kanisa hili lina ibada 2, zikiwa katika lugha ya kiswahili na kiingereza. Na Ibada hizi huenda sambamba na  Ibada za watoto. Watoto wa hapa VCCT hufanya ibada zao na walimu waliobobea katika fani ya kufundisha watoto kwa namna zote na walio na uwezo wa kuwatunza vema watoto hasa wale walio na umri wa miaka 2. Katika madarasa haya ya watoto yamegawanyika katika makundi mawili, la kwanza ni wale walio na umri wa miaka 2 – 6 na wale walio na umri kati ya miaka 6 – 12.

Stelius Sane akiongea na mwalimu David Mwakalobo

Kwa mujibu wa walimu wa watoto wanafurahishwa jinsi watoto ambao wanatokea katika familia za kikristo kwani wanakuwa wanafundishwa maadili ya kikristo. Kwa mujibu wa mwalimu David Mwakalobo, ameeleza jinsi alivyo na uzoefu wa zaidi ya miaka 5 anafurahia kazi hii. lakini pia anakutana na changamoto mbalimbali za kawaida, na kwa upande wa vifaa wao wanatumia vifaa vya kisasa vinavyowafanya watoto wafurahie kulingana na umri wao.

Watoto wakicheza

Naye Mkurugenzi wa idara ya watoto kwa ha VCCT, Naomi Twombeki ambaye ana uzoefu wa zaidi ya miaka 2, ameeleza ni kwanini wamekuwa na ibada za kiingereza hapa na kuwa na madarasa ya watoto kwa lugha ya kiingereza. Hii ni kutokana na watu wengi wanaokuja katika ibada hizi (VCCT) kuwa ni watu kutoka mataifa mbalimbali ya hapa nchini.

Laini pia mwalimu Naomi ameelezea vifaa wanavyotumia kuwa ni pamoja na nyimbo ambazo huwafanya watoto kushika kwa haraka zaidi kile mwalimu anachotaka kimfikie mtoto kwa haraka zaidi. Na pia kama kanisa la TAG, lina vitabu maalumu wa kuweza kuwaongoza walimu waweze kuelekezwa vizuri jinsi ya kuwafundisha wanafunzi wao.

Add caption

Watoto wakiimba na mwalimu wao

Changamoto kwa hapa VCCT kwa upande wa walimu ni kutokana na mchanganyiko wa watoto wenye tabia tofauti kuwaweka sehemu moja, na pia kuwepo kwa walimu wachache ambapo kwa sasa ni walimu 17 tu, na idadi ya watoto inafikia 80 kwa wakati mmoja.. Na pia jambo la eneo la kufanyia ibada kwa watoto ni tete kwakuwa Kanisa bado liko katika mchakato wa ujenzi wa jengo litakalotosheleza kuwahudumia watu wazima na watoto, japo kwa watu wazima wanafanya ibada yao katika hema kubwa la kisasa ambalo lina uwezo wa kubeba watu 1000 kwa wakati mmoja.

Add caption

Muda wa chai kila mtoto anasafisha mikono kabla ya kula

Wito kwa wazazi, wametakiwa kuwaleta watoto sunday school bila kwenda nao kwenye ibada za watu wazima maana huko hawataweza kujifunza kwani vitu vinavyofundishwa kwa watu wazima ni vikubwa kulingana na uwezo wa kupokea wa watoto, hivyo wanawanyima watoto haki yao ya kulijua Neno la Mungu.

Add caption

Mwalimu David akifundisha

Ili kuwaweka watoto kuwepo katika hali ya usikivu, kanisa limeweka utaratibu wa kila mtoto kupata chai, maji ya kunywa an juice, hii ni kuwafanya watoto waweze kujifunza kwa usikivu zaidi.

Add caption

 Watoto wakinywa chai

Shetani huwafunga watu, lakini ni njia moja tu hutumika ya kutoa nguvu za giza ni KUKEMEA KWA JINA LA YESU

Mchungaji Dr Huruma Nkone akiwaombea watu ujazo wa Roho Mtakatifu

VCCT

Athony Darmacy at VCCT

credit;http://www.wapofm.org/wp-content/themes/wapo-fm/images/logo.gif


Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.