KIWANDA CHA MZIKI WA INJILI. | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, March 4, 2014

KIWANDA CHA MZIKI WA INJILI.

KWA MARA YA KWANZA TAZAMA MAOJIANO YANGU NA MAMU PAMOJA NA PICHA ZA KIWANDA CHA MZIKI WA INJILI.

Kama ulipata bahati kuangalia kipindi cha Chomoza ya Clouds TV jumapili iliyopita nilifanya mahojiano na Mamu ambaye ni mkurugenzi wa Umoja audio vision kiwanda cha kutengeneza CD za muziki wa aina mbalimbali ukiwemo wa injili.
Kiwanda hiki kilichopo barabara ya Nyerere karibu Shoprite kinasambaza karibia kazi za wasanii wote wa muziki wa injili.Mamu ni mtanzania wa kwanza aliyeanza kazi ya usambazaji mwaka 1988 kwa kuanza na usambazaji wa kaseti audio pamoja na DVD.
Kati ya mambo niliyotaka kujua kutoka kwake ni muimbaji gani anafanya vizuri kwenye soko la mziki wa injili hivi sasa.Hili lilikua swali gumu kwake kwani yuko na waimbaji wengi hivyo kutokana na swali langu Mamu hakutaka kuniweka wazi kwa sababu za kibiashara.
Lakini kwa maneno yake
alijaribu kugusia muimbaji (Bahati Bukuku) kwa sasa anahisi anafanya vizuri sokoni akifatia Ambwene Mwasongwe na Rose Muhando.
Sikuishia hapo nilipita mitaa ya kariakoo na kuongea na baadhi ya wauzaji wa rejareja wao walisema katika soko la gospel Bahati Bukuku anafanya vizuri na albamu yake ya "Dunia Hina Huruma" anafuatia Ambwene Mwasongwe na Rose Muhando.
 Nikiwa na Manager wa kiwanda cha Umoja audio vision.
Mdau wangu ziko picha kadhaa za kiwanda cha Umoja audio vision  
Manager wa kiwanda akinionyesha aina ya mastar CD inavyokua mwanzo kabla ya kuingia kwenye mashine