MADHARA YANAYOSABABISHWA NA HOFU | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, March 19, 2014

MADHARA YANAYOSABABISHWA NA HOFU

JE UNAFAHAMU KWAMBA KUNA MADHARA YANAYOSABABISHWA NA HOFU?
Photo: VYANZO VYA HOFU KWA MUJIBU WA BIBLIA 
http://apostledarmacy.blogspot.com/2014/03/vyanzo-vya-hofu-kwa-mujibu-wa-biblia.html

Unakuwa mtumwa

Hofu inaweza kumfanya mtu akawa mtumwa , biblia inasema “….mlipokuwa watumwa wa dhambi…..”warumi 6:17,20 , hofu ni dhambi ambayo inatuweka katika utumwa , utahofia kila kitu , kila mtu n.k. umelala unasikia kitu kinapiga kelele nje unajikuta umeogopa, utumwa! Ila Yesu alituokoa kutoka kwenye utumwa wa hofu “maana Kristo naye alikufa ili kwa njia ya mauti amwaribu yeye aliyekuwa na nguvu,ili awaweke huru wale ambao maisha yao yote kwa sababu ya hofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa”

Ni kumdharau Mungu na neno lake

Hofu ni kumdharau Mungu na neno lake, kwenye biblia neno usiogope limeandikwa zaidi ya mara 365, hii ni kuonyesha hofu haitakiwi “…maaana hofu ina adhabu…” kwahiyo hatutakiwi kuwa na hofu, kabisa! “….maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo na kupeperushwa huku na huku” Yakobo 1:6

Maombi yako hayatajibiwa

“Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kutoka kwa Bwana” Yakabo 1:7 hivyo hofu huzuia maombi yako yasijibiwe, na Mungu kwahiyo yanakuwa kam

a kelele tu! Wala Mungu hayajibu jiulize ushaomba mara ngapi ukiwa na hofu ukajibiwa?

Itakupelekea kutupwa Jehanum

“Bali waoga , na wasioamini na wachukizao,na wazinzi, na wachawi…..sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kibiriti..” ufunuo 21:8 . unaona wenye hofu ndo miongoni wa watu wa mwanzo kutupwa Jehanamu, Hofu ni dhambi yenye uwezo wa kukupeleka motoni jiangalie maisha yako yakoje je unaishi katika hofu? biblia inasema “Basi msiutupe ujasiri wenu, maana una thawabu KUU” neno KUU lina maana sana hapo!

Nitatokaje kwenye maisha ya Hofu.

Hofu haikutoka kwa MUNGU “MAANA Mungu hakutupa Roho ya hofu , bali ya nguvu na ya moyo wa kiasi” 2 timotheo 1:7 Kama tulivyoona hofu ni dhambi, kama ni dhambi unatakiwa uchukue hatua ya kutubu kwanza kutoka ndani, halafu uichukie kabisa hofu, kutubu huku kunatakiwa kuendane na kuanza kusoma neno la Mungu na kulitafakari, kufunga na kuomba ili kupata nguvu ya kuishinda hofu! Mwombe Roho mtakatifu akupe ujasiri zaidi na zaidi, utaona maisha yako yatabadilika utaanza kumuona Mungu yuko karibu na maisha yako