Serikali yaingilia kati ada vyuo vikuu | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, March 13, 2014

Serikali yaingilia kati ada vyuo vikuu

Serikali imeanzisha mfumo huo unaotarajiwa kuanza kutumika mwaka huu katika vyuo vyote, kwa lengo la kudhibiti ada kulingana na fani zinazotolewa.

Serikali imekunjua makucha yake katika kudhibiti ada zinazotozwa katika vyombo vya utoaji elimu chini.

Jana, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa alizindua rasmi mfumo mpya wa ulipaji ada katika vyuo vya elimu ya juu, huku akisema utasaidia kudhibiti viwango vya ada vinavyotozwa kwa wanafunzi.

Akizindua mfumo huo jijini Dar es Salaam, Dk. Kawambwa alisema Serikali imeanzisha mfumo huo unaotarajiwa kuanza kutumika mwaka huu katika vyuo vyote, kwa lengo la kudhibiti ada kulingana na fani zinazotolewa.

“Sasa natarajia nitapata usingizi wa kueleweka maana kelele za viwango vya ada zilikuwa ni kubwa, kila chuo kilikuwa na ada yake. Niliulizwa vigezo vinavyotumika kupanga sikuwa na jibu, lakini sasa nitakuwa na majibu tena yanayoeleweka,” alisema.

Suala la viwango vya ada katika shule na vyuo binafsi liliwahi kuzungumziwa kwa kina siku za nyuma, huku Rais Jakaya Kikwete na Waziri Kawambwa wakinukuliwa kwa nyakati tofauti kutaka taasisi za elimu kupunguza viwango vya elimu. Aprili 2013 akifungua Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Wamiliki na Mameneja wa Shule na Vyuo Visivyokuwa vya Serikali (Tamongsco) uliofanyika mkoani Mbeya, Rais Kikwete alisema: “Elimu ni huduma muhimu na haki kwa mtoto. Siyo vyema kugeuzwa kuwa biashara ya kuleta faida kubwa.’’

Aliongeza kuwa Serikali ilikuwa katika mchakato wa kutathmini ada zinazotozwa vyuoni na sekondari ili kupendekeza viwango halisi vinavyopaswa kutozwa.

Kwa sasa udadisi wa umebaini kuwa wanafunzi walioanza masomo katika mwaka wa fedha 2013/2014 wanatozwa ada kuanzia Sh360,000 kwa mwaka hadi Sh9,900,000.

Kwa mujibu wa Dk. Kawambwa, mfumo huu ambao baadaye utaendelea hadi shule za sekondari na msingi, umepatikana kupitia kikosi kazi cha wataalamu ambacho pamoja na majukumu mengine kilipewa kazi ya kutathmini gharama.

Dk. Kawambwa alisema moja ya faida ya utaratibu huo mpya ni kudhibiti taasisi zinazotoza ada kubwa kwa sababu za binafsi ikiwamo biashara.

Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Makumira cha Dar es Salaam (Tudarco), Profesa Uswege Minga alisema endapo gharama hizo zitakuwa sawa, vyuo binafsi vitaathirika kwa sababu ni gharama kubwa kuendesha chuo kikuu.

Anthony Damas akiwa chuo kikuu cha TEKU- Mbeya