AHADI ZA MUNGU JUU YA MAISHA YETU. | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, November 29, 2015

AHADI ZA MUNGU JUU YA MAISHA YETU.

FAHAMU AHADI 12 JUU YA MAISHA YETU 


Neno la Mungu limepimwa na kuhakikishwa na Mungu, kwamba linafaa kwa matumizi ya Binadamu. (Zab 12:6) Neno la Mungu li hai na lina Nguvu ya kumshinda shetani (Ebr 4:12). Kuna umuhimu mkubwa wa kutumia Neno la Mungu na ahadi za Mungu, wakati wa maombi. Kumbuka, Mungu analiangalia Neno lake ili alitimize (Yer 1:12) 



Zifuatazo ni baadhi tu ya ahadi mbalimbali za Mungu zilizopo katika Biblia Takatifu. Na wewe kama mwombaji, unatakiwa kuzijua na kuzitumia ili kumkumbusha Mungu anachosema katika Neno lake (Isaya 43:26) ili kusababisha mabadiliko mazuri yatokee katika ulimwengu wa mwili kama tunavyoomba (Fil 4:6-7, Efe 6:18, Math 16:19,18).


1. Ahadi za Mungu juu ya Hali ya Hatia na  Kushitakiwa Moyoni
1Yohana 1:8,9,7; Isaya 1:18; 1Yohana 2:1; Warumi 8:34; Waebrania 10:19-22; Waebrani 4:16; Waebrania 9:14; Waefeso 1:7;  Yeremia 31:34; Isaya 43:25;  Zaburi 103:12; Isaya 55:7;  1Yohana 3:20; Yohana 3:17-18; 2Wakorintho 5:17; Isaya 43:18

2. Ahadi za Mungu kuhusu juu Mamlaka aliyotupa sisi Wana wa Mungu
Danieli 7:13-14, 27; Waefeso 1:20-23; Waefeso 2:6; Mathayo 28:18;
Mathayo 16:18-19; 1Yohana 4:13,17; Yohana 14:12

3. Ahadi za Mungu kumshinda shetani na nguvu zote za giza
Hesabu 23:23; Luka 10:19; Yeremia 1:9-10; Yeremia 51:20; Mathayo 18:18;
Marko 16:16-18; Yakobo 4:7 ; Mathayo 8:8; Yeremia 5:14; Yohana 14:12

4. Ahadi za Mungu kuhusu Uponyaji wa magonjwa ya mwili
Zaburi 103:3; Mathayo 8:17; 1Petro 2:24; Kutoka  15:26; Kumbukumbu 7:15
Marko 16:16-18; Warumi 8:12; Yohana 14:12; Yakobo 5:14-15; Marko 6:13
Mathayo 8:8; 1Yohana 4:13,17

5. Ahadi za Mungu kuhusu Ulinzi na Usalama wa Wana wa Mungu
Zaburi 121:5-8; Zaburi 91:10-12; Yohana 10:28; Isaya 54:14; Isaya 54:17;
Zaburi 34:7; Kumbukumbu 9:1-3; Zaburi 121:1-8; Walawi 26:6

6. Ahadi za Mungu kuhusu Utajiri na Mafanikio wa Wana wa Mungu
3Yohana 1:2; 2Timotheo 2:7; Kumbukumbu 28:1-13; Zaburi 1:1-3; Yoshua 1:7-8
2Wakorintho 8:9; 2Wakorintho 9:11; Wafilipi 4:19; Kumbukumbu 15:4; Isaya 45:1-3
Malaki 3:10-12; Warumi 10:12

7. Ahadi za Mungu kuhusu Akili njema, maarifa na busara
2Timotheo 2:7; Wakolosai 2:2-3; Zaburi 111:10; Kumbukumbu 4:5-8;
Kumbukumbu  28:13; Waefeso 1:18

8. Ahadi za Mungu kuhusu Watoto na Familia
Yeremia 9:17; Isaya 54:13; Kumbukumbu 28:4; Matendo 16:31; Mathayo 16:18-19

9. Ahadi za Mungu kuhusu Furaha,  Faraja  na  Amani
Wafilipi 4:6-7; Wakolosai 3:15; Isaya 55:12; Isaya 9:6; Kutoka 33:6; Zaburi 16:11

10. Ahadi za Mungu juu ya maonezi kutoka kwa adui zako
 Isaya 54:14-15; Isaya 54:17; Yeremia 1:19; Zaburi 118:12; Isaya 49:26;
 Warumi 8:31; Waebrania 13:6; Isaya 41:11; Kutoka 14:14; Kumbukumbu 31:6
 Kutoka 23:22; Danieli 6:22;

11. Ahadi za Mungu juu ya hali ya Uchovu – Unapojisikia Kuishiwa Nguvu
      Luka 24:49, Isaya 40:29,31; Matendo 1:8, Matendo 2:1-4, Matendo 4:31
      Waefeso 3:16, 1Petro 4:11, Warumi 6:10, Wafilipi 4:13, Wakolosai 1:11,29

12. Ahadi za Mungu kuhusu kupata kibali kwa watu (The Favour of the Lord).

Isaya 66:12; Kumbukumbu 6:10-11; Kumbukumbu 8:6-12, Warumi 8:33







CREDIT TO;
Home

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.