Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Katika Amka Na BBC asubuhi hii...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon asema Burundi iko hatarini kuingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Benki Kuu ya Marekani imepandisha kiwango kikuu cha riba kwa alama ya robo ya asilimia.
Wachambuzi watoa maoni yao juu ya uamuzi wa Rais wa Tanzania, John Magufuli kumuondoa kazini Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa.
Ripoti mpya ya UNICEF yasema zaidi ya watoto milioni 16 duniani, wamezaliwa katika mazingira ya kivita katika kipindi cha mwaka mmoja tu.
Na Raia wa Rwanda wanaoishi nje ya nchi hiyo leo wanapiga kura ya maoni kuamua iwapo mabadiliko ya katiba yafanyike kumruhusu Rais Kagame kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Usikose kusikiliza AMKA na BBC