Je unataka kuwa Balozi wa Usalama Barabarani? | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, December 21, 2015

Je unataka kuwa Balozi wa Usalama Barabarani?

Jiunge na Road Safety Ambassador

WAJIBU WA BALOZI WA USALAMA BARABARANI. (RSA) 

 KAULI MBIU YA RSA (MOTTO)

Kauli mbiu ya RSA itakuwa “Usalama Barabarani ni Hakina na Jukumu Letu Sote”. Ikiwa na lengo la kuonesha kwamba kila mtu ana haki yakutembea, kuvuka au kusafiri kutoka eneo moja hadi jingine na kufika salama, pia anawajibu wa kuhakikisha yeye mwenyewe anatembea kwa usalama barabarani na kuwalinda watumiaji wengine wa barabara.

DHIMA YA RSA (MISSION)

Kutoa elimu na taarifa za Usalama Barabarani, zitakazo hamasisha utii na utekelezaji thabiti wa sheria, na hivyo kuepusha ajali za barabarani.

DIRA YA RSA (VISION)

Kuwa Taasisi Kiongozi ya utoaji elimu na taarifa kuhusu usalama barabarani inayoongozwa na wananchi wenyewe.

1. Kuelimisha Watumiaji barabara wote juu ya umuhimu wakufuata sheria za barabarani na kuwa na Bima.

2. Kukataa kutoa rushwa

3. Kutoa taarifa uonapo uendeshaji ambao ni hatarishi au uonapo kitu hatarishi barabarani.

4. Kuwamfanowakufuatakanuninataratibuzotezausalamabarabarani.

5. Kuwa mkweli na kuwa tayari kukiri kosa na kuwajibika pale ulipokosea.

6. Kutotumia vibaya Wadhifa wako wa RSA au nafasi yako ya kuwajua Viongozi wa Usalama Barabarani kama kibali cha kufanya makosa barabarani au kuwa jeuri.

7. Kukemea wakati wote uvunjaji wa sheria au maadili ya kazi na kutoa taarifa kwa mamlaka juu ya ukiukwaji wa sheria.

8.Kushiriki kikamilifu katika kupambana na ajali za barabarani pamoja na kadhia mbalimbali
za barabarani kama misongamano isiyoyalazima.

9. Kutoa ushauri mzuri kwa Kikosi cha usalama barabarani kwa mambo ambayo tunaamini yana manufaa kwa usalama barabarani lakini kwa nafasi yetu kama Mabalozi hayuwezi kuyatekeleza.

10. Kushiriki kikamilifu shughuli zote zinazoratibiwa na RSA kwakushirikiana na Jeshi la Polisi. 

JIUNGE NA FACEBOOK YA RSA

Tafadhali tembelea ukurusa ufutao kisha omba kujiunga:

https://www.facebook.com/groups/rsatz

Pia tunaanda utaratibu wa fomu za kujiunga rasmi na RSA