Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
LEO...SIKU YA MWISHO YA MWAKA 2015 pale VCCT Mbezi Beach A Kuanzia SAA 3-6 usiku. Tutakuwa tukimsifu Mungu, kumwabudu, kumshukuru, kufurahi pamoja....Dr Huruma Nkone atatoa salaam za mwaka mpya na kutuongoza kumshukuru Mungu,Rivers Of Joy International, HIS FLOCK, Mise, MC Pilipili watahudumu.
Twafahamu;
2015 ndio inapita! Mipango ya kutimiza ilikuwepo. Ipo iliyokamilika ipo ambayo Hata kuanzwa bado. KATIKA YOTE Mungu anaendelea kuitwa Mungu na bado ni mwema sana na Mwenye Upendo usiopimika! -Wakati ada Ya masomo ya Masters MTU amekosa kuna mwingine hana ya kulipia kidato cha tano. -Wakati mchakato wa Harusi bado haujakaa vzr kuna MTU hata mchumba hana
-Wakati unawaza kununua Range bado Pesa haijatimia kuna mtu hajafanikiwa kupata mkopo wa Gari Yenye CC 990. -Wakati umelala kitandani kwa Sababu ya mafua na unaongea kulaumu kama Mungu kakuacha, kuna mtu ili apone inabidi mguu ukatwe cancer isiendelee sambaa.
Ukiweza kutafakari Kuwa ulipo sipo ulipokuwa 1.1.2015 utapata sababu ya kumshukuru Mungu tu.
KARIBU SANA, Leo, Tumshukuru Mungu pamoja
0762441719