Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Ni rahisi sana kwa mtu kufahamu na kujua vitu vingi tena kwa undani na maelezo ya kina. Lakini ni rahisi sana mtu huyo kufahamu na kujua kidogo kuhusu nafsi yake na ukweli kuhusu nafsi yake. Ndio maana FASDO TANZANIA Inakuletea
💡JIJUE...💡JIJUE...💡JIJUE
Kwanini Ujijue?
Kwanini Nijijue? Kwanini kila mmoja ajijue?
1. Kujijua ni zaidi ya kuwa na taarifa kuhusu wewe.
Kujua ni ngazi ya juu ya kukifahamu kitu au mtu.
2. Kujijua ni zaidi ya kujitambua.
Unaweza kujitambua lakini usijijue. Kujijua ni zaidi ya kukitambua kitu. Kuna watu wana nguvu ya utambuzi, ushawahi kusikia mtu ana nguvu ya ujuaji? 😃
3. Kujua ni kuelewa kwa kina kila kitu kinachohusu kitu au mtu. Kujijua ni kuvuka viwango vya uelewa kuhusu kitu.
4. Kujijua ni kufuata mkondo ukuelekezao katika mafanikio yako katika kila nyanja ya maisha kwa kutambua unavyoweza na usivyoweza.
5. Ukijijua utakuwa na nafasi ya kuweza kuwasaidia wengine pia kujijua na kujifahamu.
6. Ukijijua, utakuwa na nafasi ya kufanya zaidi ya unavyofanya leo.
7. Ukijijua, utaweza kuwashawishi wengine kufanya vizuri kwa kuwa mfano mwema kwao.
8. Ukijijua ni mwanzo wa kufanikiwa kwani utafahamu zaidi ya vipaji ulivyonavyo, unawezaje kuvitumia kufika mbali kimafanikio.
9. Jijue na ujitambue ili kesho yako ing'ae na kuvutia sana na kupendeza.
Je, unatamani kujijua??? #jijue
Credit to FASDO YOUTH
Tufuate
INSTAGRAM: @fasdotanzania
WEBSITE: www.fasdo. org