Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Nguvu ya neno linalotamkwa
Unaelewewa nini unaposikia neno?
Kwa maana ya kawaida
Neno ni kiambatanisho kinachotokana na munganisho wa silabi ambapo ni muunganiko wa silabi na irabi
Maana ya Neno la Mungu.
Mwanzo 1:1-4
Ndani ya neno la Mungu kuna Nguvu maana alisema iwe nuru na ikatokea na iwe mianga nayo ikatokea.
Leo hii mlima na nchi kavu Mungu alitamkiaa.
#Tunaona nguvu ya kutoka kwa Mungu katika kusema na kutamka vyote vikatokea samaki, nyangumi, wadudu Ba vitu vyote hapa duniani.
# Uumbaji wa Mwanadamu
Mimi hapa nimeumbwa kwa mfano wa Mungu
Ndiye aliumba watu wa aina mbalimbali jikubali hujaumbwa kwa Bahati Mbaya.
# Mungu alimuumba mwanadamu .na kimpulizia puzi ya uhai
# Tumeumbwa kwa Mfano wa Mungu awali Mungu alimuumba Adamu na badae Hawa
Ukifika wakati kwa vijana wa kuoa na kuolewa agano la ndoa ni la kibblia
Tumika kwa ajili ya Bwana kwa wa Dada miruzi ni ya mbwa na si ya kuitwa wewe.
# FAMILIA NA HANA NA ELIKANA
Samweli 1:13-20
Jina Samweli lilitamkwa na mama yake na kikaumba
#Tunatakiwa kujitakasa pia tunatakiwa kuvunja madhabahu