Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
NGUZO YA LEO
WEKA NAMBA.. ZINACHANGAMOTISHA NA HULETA MOTISHA PIA...
Kila inapokaribia mwisho wa mwaka watu wengi hufanya tathmini ya kile ambacho walikitarajia kuona kwa mwaka unaoisha. Nilipoanza kupitia moja baada ya nyingine nikawa natabasamu kuona mengi yamevuka hata viwango nilivyoweka.. nikasema hii ndiyo raha ya kuweka namba.. unaweza ukasema umefanikisha jambo lakini kumbe umeporomoka mwaka huu. Nilimuuliza mtu mmoja unataka kufikia watu wangapi kwa hicho unachokifanya.... KIMYA... akawa ananishangaa kweli.. Unasoma...hilo somo unataka kupata ngapi...? Unafundisha... unataka kuifikia watu wangapi kwa mwaka? Unafanya biashara unataka kuingiza faida kiasi gani?
Ukiweka namba... ukifikisha utapata motisha lakini pia itakuchangamotisha pale ukishindwa kufikisha lengo...
Nilimsikia mheshimiwa Joseph Mbilinyi (MB) aka SUGU akisema "Men lie, Women. Numbers don't lie"
Stop planning the vague.. Give it a number..
Usifanye makosa 2016 weka MALENGO yanayopimika..
Credit to;
©SHEMEJI MELAYEKI