SABABU KUU MBILI ZA KUWATENGANISHA WANA NDOA KI BIBLIA. | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, December 7, 2015

SABABU KUU MBILI ZA KUWATENGANISHA WANA NDOA KI BIBLIA.

Zipo sababu 2 zinazoweza kuwatenganisha
wanandoa;

1. Kifo ( 1 Kor 7:39 '' Mwanamke hufungwa
maadamu mumewe yu hai, lakini ikiwa mumewe
amefariki, yu huru kuolewa na mtu ye yote
amtakaye; katika Bwana tu. '')

2. Uzinzi (Mathayo 19:9 '' Nami nawaambia
ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe,
isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa
mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa
azini. '' )

-Hizo ndizo sababu 2 za Kibiblia ambazo
zinaweza kuwatenganisha wanandoa lakini pia
ni muhimu kujua kwamba Biblia inaagiza
kusamehe saba mara sabini kwa siku moja.
Luka 17 :4 '' Na kama akikukosa mara saba
katika siku moja, na kurudi kwako mara saba,
akisema, Nimetubu, msamehe.''
Licha ya kuambiwa samehe saba mara sabini
naamini hata ukiambiwa msamehe huyo
unayetaka kumpa talaka basi hakika
utamsamehe maana agizo ni kwamba usamehe.
lakini pia wengi hujisifia kutoa talaka lakini
Biblia inatuamuru tusameheana saba mara
sabini kwa siku lakini pia ni muhimu
kukumbuka kwamba usiposamehe na wewe
hutasamehewa na MUNGU. Mathayo 6:14- 15
''Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao,
na BABA yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi.
Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala
BABA yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.''

Kumbe kujidai kutoa talaka kwa sababu hutaki
kusamehe inaweza kukuingiza jehanamu
vilevile.
Lakini pia wewe ambaye umeshindwa
kujiheshimu hadi unataka kupewa talaka
unataka nini zaidi? lini utajitambua na
kujidhamini?
Unaleta makwazo kwa mwenzi wako, kwanini?
Mathayo 18:6-7 '' bali atakayemkosesha
mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio,
yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la
kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari.
Ole ni wa ulimwengu kwa sababu ya mambo ya
kukosesha! Maana hayana budi kuja mambo ya
kukosesha; lakini ole wake mtu yule aliletaye
jambo la kukosesha! ''

-Usione raha kuwakosesha wengine maana ni
machukizo kwa MUNGU.
Talaka dume leo zimejaa.
Ni kama wana ndoa hao wameachana ila tu
bado talaka.

Kuna ndoa mama ana mambo yake na baba pia
ana mambo yake, kila mtu kivyake.

Kuna ndoa kila mhusika anasema '' tusijuane''

Kuna ndoa kila mhusika wa ndoa hiyo anasema
'' najuta kukufahamu''

Vita vya toka wapi?

Waefeso 5:28-31 '' Vivyo hivyo imewapasa
waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao
wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda
mwenyewe. Maana hakuna mtu anayeuchukia
mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza,
kama KRISTO naye anavyolitendea Kanisa. Kwa
kuwa tu viungo vya mwili wake. Kwa sababu
hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake,
ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa
mwili mmoja. ''

-Agizo la MUNGU ni wanandoa wapendane kama
Biblia inavyosema kwenye andiko hapo juu
lakini ndoa nyingi leo hazina upendo.

-Kuna ndoa kuna mashariti mengi na magumu
kuliko mashariti ya kuomba mkopo benki.

-Kuna ndoa kuna manyanyaso kuliko gerezani.

Vita vya toka wapi?
Hawa ni kama wametalikiana maana zile habari
za mwili mmoja hazipo tena, upendo wa kwanza
umepoa, furaha hamna, shetani anawamiliki na
kila mmoja hata hataki kumtafuta BWANA YESU
ili aifufue ndoa yao kama alivyomfufua Lazaro
lakini kazi imebaki kulaumiana na kujuta tu.
Hiyo Ni Talaka Dume.

Kila Siku Kutukanana Na Mafarakano.
Kila Siku Ni Kunyosheana Vidole Na Kuogopana
Kama Polisi Na Mwizi.
Hiyo Ni Talaka Dume Yaani Ni Kama
Mmetalikiana Hata Kama Mnaishi Pamoja.

Ndugu, Je Uko Kwenye Talaka Dume?
Biblia Inasema Hakuna Kuachana Mpaka Kifo
Kiwatenganishe
( 1 Kor 7:10- Lakini wale waliokwisha kuoana
nawaagiza; wala hapo si mimi, ila BWANA; mke
asiachane na mumewe; )

Tena "Mume Ampe Mkewe Haki Yake, Na Vivyo
Hivyo Mke Ampe Mumewe Haki Yake-1 Kor
7:3.''

Tena Ndoa Na Iheshimiwe Na Watu Wote,
Kuanzia Wanandoa Wenyewe Hadi Watu Wa Nje
( Waebrania 13:4,Ndoa na iheshimiwe na watu
wote, na malazi yawe safi; kwa maana
waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia
adhabu. ).

Je Unataka Kuiponya Ndoa Yako?
Je Unataka Kuirudisha Katika Hali Safi Ndoa
Iliyokufa?
-Ndugu, Tubu Kwa Ajili Ya Ndoa Hiyo
Luka 13:3 '' Nawaambia, Sivyo; lakini
msipotubu, ninyi nyote mtaangamia vivyo hivyo.
''
-Karibia Kiti Cha Rehema Cha BWANA YESU
Waebrania 4:16 '' Basi na tukikaribie kiti cha
neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na
kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.
''.
- Anayeweza Kuiponya Ndoa Yako Na Kirudisha
Kwenye Furaha Ni YESU Pekee.
BWANA YESU anasema
Mathayo 11:28 '' Njoni kwangu, ninyi nyote
msumbukao na wenye kulemewa na mizigo,
nami nitawapumzisha.''
Upendo Wa Kweli Haushtaki Wala Kulaumu Bali
Hupigana Wenyewe Ili Kuhakikisha Mambo
Mazuri Yanabaki Pale Pale.
Kama upendo wa kweli haupo basi talaka dume
itatawala.

Ndugu, kuiponya ndoa yako ni jambo ambalo
linawezekana kabisa na tena ni jambo rahisi
sana kwa MUNGU katika KRISTO YESU.
Iponye ndoa yako kwa kumkimbilia BWANA
YESU ili akuokoe na aiokoe na ndoa yako.
---------
Credit
Peter Mabula
Maisha ya ushindi

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.