SADAKA IGUSAYO MOYO WA MUNGU | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, December 6, 2015

SADAKA IGUSAYO MOYO WA MUNGU

“Utoaji ulio mwema ni mlango wa mafanikio na uponyaji wa kimwili, kiuchumi, na kiroho”

 Dhabihu igusayo moyo wa Mungu ni mlango wa baraka yako.

 Watu wengi wamekuwa wakitamani sana kubarikiwa na Mungu ila si wepesi kutaka kujua ni kwa namna gani au zipi ni kanuni za Mungu kwa mafanikio yao. Wengine kwa kutojua utaratibu wa Mungu wameamua hata kuvutwa na makanisa yanayotangaza kuwa wana ibada za kuombea watu Baraka na utajiri, ila Mungu yeye ni wa utaratibu na ukimgusa katika maeneo yake aliyoamuru yafanywe ni lazima utabarikiwa hata pasipo kuombewa na mitume na manabii, Ni muhimu sana kwa kila mtu kujifunza njia za Mungu na kujua ni kwa namna gani Mungu anawabarika watu wake.

 Nyakati za leo ni rahisi sana kukuta mtu anamdai Mungu mambo mengi na Baraka ila ukitazama maisha yake jinsi yalivyo hakuna utoaji na si mwepesi kufanya mambo yanayobariki moyo wa Mungu.

 Vipo vitu vinavyougusa moyo wa Mungu moja kwa moja, na vipo vitu vinafanyika na vimebeba sura nzuri ila si vyote vinavyougusa moyo wa Mungu. Katika sadaka kuna sadaka inayougusa moyo wa Mungu moja kwa moja na kuna dhabihu itolewayo katika madhabahu ya Mungu ila haina sifa ya kugusa moyo wa Mungu.

 Maandiko matakatifu yanatueleza kuwa utoaji ulio wa moyoni pasipo kushinikizwa ni sababu ya watu kubarikiwa na pia kukosa roho ya utoaji ubaki kuwa sababu ya watu kutobarikiwa.

 Kitabu cha Marko 5:30-32 “Mara Yesu, hali akifahamu nafsini mwake kwamba nguvu zimemtoka, akageuka kati ya mkutano, akasema, Ni nani aliyenigusa mavazi yangu? Wanafunzi wake wakamwambia, je! Wawaona makutano wanavyokusonga-songa, na wewe wasema ni nani aliyenigusa?” Watu wengine waliokuwa katika eneo lile walimpapasa Yesu ila hakuona mguso wowote, tofauti ni kwa Yule mama ambaye aligusa kwa mguso wa kudhamilia ambao uligusa moyo wa Mungu moja kwa moja na ukamfanya Mungu aingilie kati suala la Yule mama na kumponya.

 Si kila agusaye ana mguso wa kugusa moja kwa moja, kuna wengine wanapapasa tu ila hawagusi ila kuna wengine wanagusa kabisa mpaka wanatoa mshituko na muitikio wa tofauti kwa mguswaji, mpapasaji hana athari yoyote ile ila mgusaji anaathari kubwa sana, na mgusaji aweza patiwa mambo mengi sana kwa kule tu kugusa kwake.

 Marko 12:44-44 “Naye akaketi kulielekea sanduku la hazina, akatazama jinsi mkutano watiavyo mapesa katika sanduku. Matajiri wengi wakatia mengi. 42 Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia senti mbili, kiasi cha nusu pesa. 43 Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambia, Huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote wanaotia katika sanduku la hazina; 44 maana hao wote walitia baadhi ya mali iliyowazidi; bali huyu katika umaskini wake ametia vyote alivyokuwa navyo, ndiyo riziki yake yote pia.” Suala si kutoa ila suala ni kutoa dhabihu igusayo moyo wa Mungu kwa moja kwa moja, mtu unayeweza kumpima kwa viwango vyako vya kawaida kuwa yuko chini sana ndiye anaweza kuwa mtu afanyaye mambo yanayougusa moyo wa Mungu na kumfanya ajisikie vizuri.

credit