Social Democratic Youth Roundtable Discussions | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, December 25, 2015

Social Democratic Youth Roundtable Discussions

VIJANA WA AFRICA NA UINGEREZA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI NA TANZANIA KWA KUAMINI VIJANA KATIKA UONGOZI WA TAIFA LAKE

Tarehe 14 - 17 December 2015 kulikua na Majadiliano ya vijana kutoka bara la Africa na Uingereza
( Social Democratic Youth Roundtable Discussions) kuhusiana na mchango wa vyama vyenye kufuata misingi ya ujamaa na demokrasia katika kuhamasisha ushiriki wa vijana katika maswala ya siasa na uongozi. Mkutano huo ulifanyika katika hotel ya St. Ermins Mjini London.

Wajumbe wa majadiliano hayo walitambua na kupongeza juhudi za maksudi zinazofanywa na Tanzania ikiwa ni pamoja na kumpongeza Rais Magufuli kwa kuwa na Baraza la mawaziri lenye sura ya Vijana. Wajumbe waliendelea kupongeza jitihada za serikali katika kushirikisha vijana na kuwaamini katika nafasi mbali mbali za uongozi. Mafanikio makubwa ya jitihada hizo zikiwazinajiakisi katika bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lenye vijana wengi.
Mazungumzo hayo yalihusisha jumuiya za vijana kutoka vyama 7 barani Africa na
 Chama cha Labour party kutoka Uingereza.
Vyama hivyo vikiwa ni ANC - South Africa
FRELIMO - Mozambique
CCM - Tanzania
Botswana - Botswana Congress Party,
Cameroon - Social Democratic Front
Ghana-Convention People's Party na
Ghana- National Democratic Congress

Msafara wa toka Tanzania  uliongozwa na Bi. Zainab Katimba (Mb.) na Augustine Vumma Holle Mbunge mwenye umri wa miaka 25 kutoka jimbo la Kasulu vijijini, Kigoma.
Pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yalizaa haja ya kuunda mtandao wa kuhamasisha ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika siasa, kutunga sera (policy making/formulation) na uongozi kwa ujumla wake.

 Mtandao huo umepewa jina la AFRICAN YOUTH NETWORK ukiwa una malengo yafuatayo;

1. Kuoka vijana kuwa viongozi bora (Mould young social democrats in to potential future leaders)

2.kutambua na kuendeleza mchango wa vijana katika kuleta maendeleo endelevu (Sustainable development)

3. Kutambua na kuendeleza mchango wa vijana katika kujenga taifa la kidemokrasia (democratic state)

4. Kutambua na kuendeleza mchango wa vijana katika kuleta Amani ( Role of youth in Peace Making)

 Kila chama kilipata nafasi ya kueleza muundo na mchango wa chama chake katika kufanikisha malengo tajwa.

Mtandao wa AYN utazinduliwa March 2016 nchini Tanzania.
Hakika hatima ya Tanzania ipo mikononi mwa vijana. Ni vema vijana wa Tanzania kulitambua hilo hususani vijana wa Kitanzania ambao wengi wao wanatarajiwa kuwa viongozi katika siku chache zijazo.
Zainab Katimba akiwa na Mwenyekiti wa Vijana wa Chama Cha Labour Party cha Uingereza.

Augustine Vuma Attending #Youth roundtable event in London, UK.... Led to the birth of African youth Network (AYN)

More details;