TAARIFA FUPI UTEKELEZAJI KAMPENI YA PAZA SAUTI IRINGA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, December 21, 2015

TAARIFA FUPI UTEKELEZAJI KAMPENI YA PAZA SAUTI IRINGA

TAARIFA FUPI UTEKELEZAJI KAMPENI YA PAZA SAUTI IRINGA

Wiki jana  tufanikiwa kuweka mabango ya kuhamasisha Abiria Kupaza Sauti mjini Iringa, na kuwa wa  kwanza kuendesha kampeni yetu kwa staili hiyo ambayo imewavuta pia maeneo mengine na sasa wako katika mchakato wa  kutuiga na kuweka kwao. Mabango yetu yako check point ya Igumbilo mawili, stand ya Ipogoro moja na stand ya Mlandege moja. Mchakato wa  kusimika bango kama hilo stand kuu pale uko kwenye plan. Utakamilika baada ya mambo kadhaa kufanyika.

Baada ya hapo, siku  ya jumamosi mabalozi Khdija, Salma, Damas  na Cleva, walifanya kampeni kwenye mabasi kadhaa ambapo takriban mabasi 10 abiria walielimishwa.

Jumapili, niliwaongezea nguvu kwa kushiriki nao lakini pia nikiwapatia mabalozi vipeperushi 500 ambavyo baadhi tulivitumia jumapili na vingine vimehifadhiwa kwa ajili ya siku  zijazo.

Siku  hiyo ya jumapili tuliweza kutoa elimu  kwa mabasi takriban 20. Yakiwemo yanayotoka asbh saa  12 na Yale ya saa  mbili.

Hakika zoezi lilienda vizuri sana na zonal coordinator kwa kufurahishwa na juhudi za mabalozi wenzangu