Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Ni Goodluck Gozbert
Nina Mengi Ya Kuandika Ila Nitaandika Machache,
Jana Imekua Siku nzuri Kwetu, Wakati nashuka tu kwenye Jukwaa la Pale Mlimani City Nilipokea simu Toka Kenya
Asante Mungu, Nimeshinda Tuzo Kama Mwimbaji Bora wa Mwaka Toka Tanzania Na wimbo Bora ( Ni Category Moja)
Katika Tuzo Za Xtreem Awards Kenya
Nawapenda Woote ambao hamkusita wala Kuchoka Kunipigia Kura hata pale Nilipokaa Kimya
Thanks For Prayers
Mungu awabariki sana, Sana Sana Sana
Kwenye Picha, Ni rafiki Benja Musiq ambaye aliniwakilisha kuipokea Tuzo Hii
Soon Itatumwa Hapa Nyumbani
Bless Bless Bless,
Asanteni SanaAsante Mungu kutupatia Star mwingine katika muziki wa Gospel Goodluck Gozbert aliye tuletea tuzo nyumbani. Huu ni mwanzo mzuri, naimani kubwa na wewe Kwa Mwaka 2016. Mungu tujaliye mengi katika muziki Wa Gospel bado tunalisaka Tobo..
Credit to
Goodluck Gozbert wall
Uncle Jimmy