Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Hujambo? Karibu katika AMKA NA BBC;-
Machache kati ya yale tuliyokuandalia ni pamoja na ;-
Saudi Arabia imefunga uhusiano wake wa kidiplomasia na Iran huku kukiwa na mvutano mbaya kufuatia mauaji ya mhubiri mkubwa na mtetea haki za waislamu wa madhehebu ya shia huko Riyadh
Nchini jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, wanamgambo wanaodaiwa kutoka waasi wa RAIA MUTOMBOKI wanaarifiwa kuteka zaidi ya vijiji saba katika tarafa ya kalehe mkoa wa kivu ya kusini mashariki mwa nchi hiyo, ikiwa ni pamoja Chabunda, Lukando katika Kalima kikundi.
Hali ya sintofahamu inazidi kutawala mgogoro wa Zanzabar huku hatima ya mazungumzo yanayoendelea kutatua mgogoro huo ikiwa njia panda.
Chuo Kikuu cha Garrisa kilichofungwa miezi 10 iliyopita kutokana na shambulio la Ugaidi na wapiganaji wa Al shabaab leo hii kinatarajiwa kufunguliwa .
Jahmuri ya kidemokrasia ya kongo ambapo serikali nchini humo imeanza kuweka Kamera barabarani jijini kinshasa.
Kwa mujibu wa serikali Kamera hizo zimewekwa kwa ajili ya ulinzi wa usalama wa raia.
Kwa utuo zaidi AMKA NA BBC.