Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
#Jana nilifka kwenye kituo cha afya Rusesa, Kasulu. Lengo lilikuwa ni kuwajulia hali wagonjwa lakini pia kutatua hali ya sintofahamu iliyotanda kwa wananchi baada ya gari la kubeba wagonjwa la kituo hicho kuondolewa na kutoonekana kwa mda mrefu na hivyo kuhatarisha sana maisha ya wagonjwa mahututi. Tulikubaliana na DMO kuwa ndani ya siku Saba gari liwe limerudi na kuendelea kuwahudumia wananchi wa tarafa ya buyonga.
#uongozi ni utumishi sio utukufu