Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
ROAD SAFETY AMBASSADOR (RSA)
Kuanzia Leo, kwa wiki nne mfululizo, RSA kanda ya Nyanda za Juu Kusini, tutakuwa Tukiruka hewani kupitia masafa ya
87.8 Iringa
94.7 Dar
106.9 Njombe
102. 2 Songea
kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tatu kupitia Ebony FM, tukizungumza mambo mbalimbali kuhusu Road safety Ambassador (RSA ) mabalozi wa usalama barabarani katika kampeni ya Abiria Paza Sauti.
Kwa ambao mtamudu, na ambao mnaipata Ebony FM katika maeneo yenu, naomba mtuunge mkono kwa kusikiliza kipindi, kupiga simu kuchangia na kutoa ushauri pia.
Ni kila Jumatano, tukianza na hii ya kwa wiki nne mfululizo.
NAMBA ZA SIMU ZA MSAADA AU KUTOLEA TAARIFA YA HARAKA KWA DAR ES SALAAM
RTO ILALA: 0715 009980
RTO KINONDONI: 0715 009976
RTO TEMEKE: 0715 009979
ZTO(DSM):0712891999
AFANDE KOVA: 0754 034 224
DCP MPINGA: 0656 111 444
SACP KAHATANO: 0713 631787/0784871137
INSP.SOLOMON MWANGAMILO: 0715291299/0682291299
TRAFFIC CONTROL ROOM(NCHI NZIMA): 0682 887722/0658 444 499
SUMATRA: 0800110019 (BURE)
WHATSAPP RSA KULIKONI BARABARANI: 0688 140140
Hapa unaweza kutuma taarifa au picha ya tukio lolote linalotokea barabarani na likafanyiwa kazi mara moja
Kwa wale walioko mikoani mnaweza kuwasiliana na ma-RTO kupitia namba tulizoweka humu kwenye sehemu ya file au kupiga moja kwa moja au kuwhtsapp namba ya kamanda Mohammed Mpinga au Johansen Kahatano au kupitia traffic control room numbers tulizoweka hapo juu kwenye cover post.
Aidha kwenye simu yako unaweza kutafuta namba ya RTO yoyote kwa kuandika ujumbe wenye neno POLISI acha nafasi likifuatiwa na jina la Mkoa uliopo kisha tuma kwenda namba 15327, UTAPOKEA NAMBA YA RTO NA RPC WA MKOA HUSIKA. KARIBUNI SANA
Asanteni