Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Mtandao wa mabalozi wa Usalama Barabarani (RSA)mkoa wa Iringa, unapenda kuwatangazia uzinduzi wa kampeni ya "Abiria Paza Sauti"Awamu ya Pili 2016 siku ya Jumanne ya tarehe 12,January.
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa mhe. Richard Kasesela. Uzinduzi utafanyika stand kuu Iringa kuanzia saa mbili asubuhi, na kuambatana na usajili wa mabalozi wapya wa usalama Barabarani(ROAD SAFETY AMBASSADORS )
Nyote mnakaribishwa
Imetolewa na Mtandao wa Mabalozi wa Usalama Barabarani (RSA) kwa Ushirikiano wa SUMATRA na Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani Iringa.
USALAMA BARABARANI, JUKUMU LETU SOTE. TUZIFANYE BARABARA ZA IRINGA SEHEMU SALAMA KWA WATUMIAJI WOTE