Uzinduzi wa Bweni la kisasa Chuo cha Biblia ( central Bible collage) | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, January 19, 2016

Uzinduzi wa Bweni la kisasa Chuo cha Biblia ( central Bible collage)

Ni Uzinduzi wa bweni la kisasa la wanaume - chuo cha Biblia (Central Bible College) -Dodoma

Idara ya Elimu ya TAG yaboresha majengo ya vyuo vya Biblia nchini. Hapa ni uzinduzi wa Bweni la kisasa lenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 200 katika chuo cha Biblia cha Central Bible College - Dodoma mwezi Januari 2016.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi Dr. Sam Johnson kutoka Marekani ambaye pia ndiye mfadhili mkuu wa mradi huo alisema mradi huo ni utekelezaji wa Agizo Kuu la Bwana Yesu la kuwafanya mataifa yote kuwa wanafunzi wa Yesu. Dr. Johnson alisema chuo cha CBC kitawavutia watumishi wengi kuja kunolewa na kupata elimu ya theolojia ili waje kuwa watumishi wazuri zaidi, kwa kupata Stashahada, Shahada, na Shahada za Uzamili na Uzamivu. Aliongeza kwamba anaamini kwamba CBC itakuwa kitovu cha umahiri katika elimu ya theolojia hapa Tanzania na nje ya Tanzania.

Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Rev. DR. Mtokambali

Kwa upande wake Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Rev. DR. Mtokambali alisema anapolitazama jengo hili na aliposikia historia yake kutoka kwa Mkurugenzi wa Elimu, anaona mbali zaidi ya mamilioni ya shillingi yaliyotumika. Alisema anaona mamilioni ya roho za watanzania na wasio watanzania zikiokolewa kupitia elimu itakayotolewa katika chuo hiki. Alisema katika Mpango Mkakati tumefanya kazi nzuri miaka saba iliyopita na kwamba miaka mitatu iliyobaki ni ya kufanya kazi ya kufa na kupona ili tuivune Tanzania kwa ajili ya Yesu.

Askofu mkuu alimshukuru Dr. Sam Johnson na  "Priority One" kwa ukarimu wao wa utoaji, Mkurugenzi wa Elimu Rev. Jonas Mkoba kwa kujitoa kwake kusimamia mradi huu, na kila mtu aliyeshiriki kwa njia moja au nyingine kuukamilisha mradi huu.

credit to Tanzania Assemblies of God

http://tzag.org/sw/sw/habari/uzinduzi-wa-bweni-la-kisasa-la-wanaume-chuo-cha-biblia-central-bible-college-dodoma 

Tanzania Assemblies of God

Tutavuna Mpaka Kieleweke
 
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6