Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
CHAI YA LEO ,..
KWA NINI WANAENDELEA KUKUWA TAJIRI NA KWA NINI TWAENDELEA KUKUWA MASKINI
TABIA ZITAKZOKUFANYA UNDELEE KUWA MASKINI HATA KAMA UNA KIPATO KIKUBWA
1.kuwa NA MATUMIZI makubwa ya PESA ..haijawahi tokea ukapata PESA nyingi NA ukashinda baa NA UWE NA PESA bado,KUWA makin KWA PESA YOYOTE unayopata NA unavyotumia ,HAKIKISHA unaandika kila MATUMIZI YAKO
2.Kushindwa KUWEKEZA maeneo mengi
Hebu fikiri marekani tunaoamini ndo matajiri WA dunia ,tajiri WA KAWAIDA ako NA vyanzo 7-8 vya mapato ..hapa hatujazunguzmia BILL GATES nasemea wale WA KAWAIDA kabisa?? Je wewe Uko NA vyanzo ngap vya mapato??
PESA YAKO umewekeza wapi???
3.kutojiwekea AKIBA
NUNUA WALAU share ,wekea amana ,KILA PESA uyopata iweke maanani PUT INTO accounts,
Save more ,invest more ,save more ..circular frow of income
4.Kutokuwa NA kumbukumbu SAHIHI za matumizi yako..
Chunga SANA
KUTOA ofa ndogondogo,simu zisizo za uzalishaji NA uwekezaji
5.JIFUNZE KUISHI KWA BUDGET ..nitakufunza step by step hapa NA nikushauri
UKIFANYIA KAZI HAYA MAMBO HATA UWE NA PESA KIDOGO UTAKUWA TAJIRI NA USIPOYAFUATA NA KUEEKA KWA MATENDO HATA UKUWE NA PESA NYINGI ..UMASKIN UNAKUWA WAKO ...
MCHANA MWEMA
MWL ANGELO@2016