Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Anaringa Kwa Weusi wake,amepewa Sauti Kalii,tena Sauti ya bezi. Anafahamika kwa jina Miriam Jackson Mjaluo wa kwanza kuingia kwenye TV station na kuwakilisha vyema hisia za muziki.
Ngoja nikuambie, mguu alionao umekua gumzo mtandaoni eti kama kapendelewa. Ukiacha hilo sauti yake ya bezi tofauti na mwili wake. ....Miriam Jackson kama kawaida yake anasema Mwaka huu (Ibedikodar)
Wanawake wangapi umekutana nao huyu usimuone. Na kwakua ni msimu wa (Ibedikodar) Ukimuuliza Samuel Sasali kutoka Clouds TV anampendea libeziii lake,pamba anazo nyuka kutokana na maudhui ya nyimbo zake. Twende sawa na msimu wa (Ibedikodar) 👇🏿
https://youtu.be/0cSvD1nPdis