Rais Magufuli kateua Wakuu wapya wa mikoa | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, March 13, 2016

Rais Magufuli kateua Wakuu wapya wa mikoa

Wamo Paul Makonda,Steven KebweAggrey MwanriMagesa Mulongo

Mkuu wa mkoa Mteule Dar Mhe. Paul c. makonda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa 26 ya Tanzania Bara ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe.
Uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe leo tarehe 13 March, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam, wakuu wa Mikoa walioteuliwa ni kama ifuatavyo
  1. Paul Makonda – Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
  2. Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga – Mkuu wa Mkoa wa Geita.
  3. Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu – Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
  4. Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga – Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
  5. Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga – Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
  6. Godfrey Zambi – Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
  7. Steven Kebwe – Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
  8. Kamishna Mstaafu wa Polisi Zelote Steven – Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
  9. Anna Malecela Kilango – Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
  10. Mhandisi Methew Mtigumwe – Mkuu wa Mkoa wa Singida.
  11. Antony Mataka – Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
  12. Aggrey Mwanri – Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
  13. Martine Shigela – Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
  14. Jordan Mungire Rugimbana – Mkuu wa Mkoa Dodoma.
  15. Said Meck Sadick – Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.
  16. Magesa Mulongo – Mkuu wa Mkoa Mara.
  17. Amos Gabriel Makalla – Mkuu wa Mkoa Mbeya.
  18. John Vianey Mongella – Mkuu wa Mkoa Mwanza.
  19. Daudi Felix Ntibenda – Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
  20. Amina Juma Masenza – Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
  21. Joel Nkaya Bendera – Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
  22. Halima Omary Dendegu – Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
  23. Rehema Nchimbi – Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
  24. Mhandisi Evarist Ndikilo – Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
  25. Said Thabit Mwambungu – Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
  26. Luteni Mstaafu Chiku Galawa – Mkuu wa Mkoa wa Songwe (Mkoa mpya).
Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU Gerson Msigwa, wakuu wote wa mikoa walioteuliwa wataapishwa Jumanne tarehe 15 March 2016 saa 3:30 Asubuhi Ikulu, Dar es salaam.

credit
http://apostledarmacy.blogspot.com/

http://millardayo.com/brkrcs/