Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Na nukuu Maneno ya Mhe. Augustine Vuma
Mbunge wa Kasulu Vijijini
#When the storm gets over... Na ukaalikwa kuwa mgeni rasmi!
"Unapomaliza shule unayo maswali mawili ya kujiuliza; ujiajili au uajiliwe? Vyovyote utakavyoamua uko sahihi kulingana na Utashi wa moyo wako na mtazamo wako. Hata hivyo ni jukumu la serikali kuweka sera nzuri ili kuweka mazingira rafiki ya kuajiriwa na kujiajiri, pamoja na hayo utashi na bidii ya vijana ni nguzo muhimu katika kuyafikia malengo yao" -Vuma A.H
Hongera Sana Augustine Vuma Kwa kuwa mgeni Rasmi katika chuo cha Bangalore India
Asante kwa swali ulilo toa majibu yaani baada ya shule ujiajili au uajiliwe na kusema vyovyote utakavyo amua ni sahihi kulingana na utashi wa moyo wako na Mtazamo.