Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
CHUKUA HATUA
Leo ni 1/6 2016
🚩Shukrani
Zaburi : Mlango 118
1 Haleluya.Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema,Kwa maana fadhili zake ni za milele.
🚩Kipekee tumshukuru Mungu kwa jinsi alivyotupigania katika Mwezi wa Tano na tamkia Maneno ya kinabii mwezi huu wa sita kwa habari ya kumpenda na kumtumikia Mungu, Kufunguka na kuimarika kwa fursa za kibiashara, kikazi, Kimasomo, Afya njema na kukua na kuimarika kumpenda Mungu katika maisha yetu.
🚩Kuhusu mipango/Plans
Mithali : Mlango 16
3 Mkabidhi BWANA kazi zako,Na mawazo yako yatathibitika.
🚩Kuhusu kazi-utekelezaji wa mipango/task&activities
Zaburi : Mlango 37
5 Umkabidhi BWANA njia yako,Pia umtumaini, naye atafanya.
🎈Thank you Jesus 4 June
By Apostle Darmasy
+255769020921