CHEZA KWA MIGUU YOTE MIWILI " KIPAJI + ELIMU" | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, June 6, 2016

CHEZA KWA MIGUU YOTE MIWILI " KIPAJI + ELIMU"

KIPAJI +  ELIMU

#Cheza_kwa_Miguu_yote

Kipaji + Elimu (taaluma)

Na nukuu toka kwa
"Brother Fred Msungu"

"Ni kweli kipaji kina nguvu kubwa sana ya kukupaisha ,
Lakini ni ukweli usiopongika pia kwamba maarifa ni nguvu (Taaluma)

Wapo wengi waliokua na elimu kubwa Sana lakini mpaka sasa kuna maeneo makubwa ya ndoto zao au mafanikio hawajafikia wakati .
Wapo watu wenye vipaji wamefika hapo, Lakini pia wako watu wenye vipaji vikubwa sana hawajafika ndoto zao au maeneo makubwa kwasababu tu pengine pamoja na vipaji vyao daraja pekee lililotakiwa kuwavusha kuelekea upande wa pili ni Elimu (taaluma)

Sasa hapa unajiuliza daaah! Kama ni hivyo Kipi bora ..?
Jibu sahihi ni kwamba Jambo bora zaidi ni kutafuta namna ya KUCHEZA KWA MIGUU YOTE yaani kulia KIPAJI kushoto TAALUMA ukivipata hivi kwa pamoja unauhakika sana na asilimia nyingi zaidi za kuyafikia malengo na ndoto kwa haraka zaidi kuliko anaetumia mguu mmoja
Mchezaji anaeweza kutumia miguu yote miwili uwanjani hata thamani yake inapanda kwasababu una asilimia nyingi zaidi za kushinda goli haijalishi pasi itatokea upande gani kwasababu tu unatumia miguu yote

Juma 5 ya wiki hii tutakua Kigogo uwanja wa shule ya msingi Amani mimi   Fread  Msugu pamoja na.  Victoria tukiongea jinsi gani unaweza kuanza kucheza kwa miguu yote kwaajili ya ustawi wako binafsi wewe, jamii yako na taifa kwa ujumla ...

Kama unautaalamu sana wa kucheza kwa mguu wa kushoto basi njoo Upewe mbinu za kuanza kuutumia na mguu wa kulia uwe ili uwe mchezaji mwenye thamani uyapaishe maisha yako kwa kasi ya tai."
Mwisho wa Ku nukuu.

CREDIT TO
APOSTLE DARMASY
BLOGGER
+255769020921