MAPOKEZI YA MWENGE MKOA WA IRINGA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 7,139,993,299 ITAZINDULIWA NA MWENGE | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, June 19, 2016

MAPOKEZI YA MWENGE MKOA WA IRINGA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 7,139,993,299 ITAZINDULIWA NA MWENGE

Mkoa wa Iringa umepokea Mwenge kutoka Mkoa wa Njombe makabidhiano hayo yalifanyika katika viwanja vya Nyigo Makambako

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Bi, Amina Nyaminozi Masenza Mkuu wa Mkoa wa Iringa Akipokea Mwenge

KATIKA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUU MKOA WA IRINGA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 7,139 993 299 ITAPITIWA NA MBIO ZA MWENGE 

Tarehe 22/6/2016 siku ya Jumatano mwenge wa uhuru utakimbizwa katika Manispaa ya Iringa na kupitia, kuweka jiwe la msingi, kukagua na kufungua jumla ya Miradi saba ya Maendeleo.
Miradi itakayopitiwa ni Ujenzi wa daraja la Tagamenda uliyopo Kata ya Ruaha wenye thamani ya shilingi 5,343,133,556.30/-. Pia ujenzi wa mfereji wa kilimo cha umwagiliaji katika Kata ya Isakalilo ambapo mradi huu utawekwa jiwe la Msingi.
Mradi mwingine ni gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) katika Hospitali ya Frelimo katika Kata ya Mwangata. Aidha mwenge wa uhuru utakagua mradi wa Elimu kwa njia ya Teknolojia ya Mawasiliano(TEHAMA) wenye thamani ya shilingi 512,604,200/- Mradi upo katika Kata ya Gangilonga.
Pia mradi wa barabara ya lami Mwang'ingo Mkimbizi hadi Bwawani katika kata ya Mkimbizi ambapo mradi umekamilika na utakaguliwa. Mradi huu umegharimu jumla ya shilingi 822,403,900.75/-. Mradi mwingine utakaofunguliwa na mbio za Mwenge wa Uhuru ni Mradi wa uhifadhi mazingira na ufugaji Nyuki katika Msitu wa Igeleke katika Kata ya Mkimbizi, ambapo mradi umegharimu jumla ya shilingi 28,938,000/-.
Mradi wa mwisho utakao pitiwa na Mbio za Mwenge ni kutoa Hundi ya shilingi 20,000,000/- kwaajili ya vikundi vya wanawake na vijana.
Aidha, Mkesha wa mwenge utakuwa katika viwanja vya Mwembetogwa vilivyopo katika Manispaa ya Iringa. 
HABARI IMELETWA KWENU NA 
SIMA BINGILEKI Iringa Manispaa
CREDIT TO DAMAS 
Mkuu wa wilaya ya Irnga  Mh. Richard Atu Kasesela  akipokea mwenge