Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
MLIMANI PROJECT
SIKU YA KWANZA
Maombi ya Toba
2Nyakati 7:14
Bwana asipoulinda MJI aulindaye akesha Bure. Zaburi 127:1.
Zamu ya Iringa. Ukipenda kuungana maelfu katika Hii project maalum... Fuata maelekezo. Tukutane Mlimani.
Biblia inaongelea juu ya watu wa Mungu kuchukua nafasi yetu na kuomba kwaajili ya uponyaji wa nchi (Aridhi) mkoa wetu lakini jambo la kwanza inazungumza na muhimu kabla ya Mungu kusikia na kusamehe na kuponya nchi (ardhi) anatutaka kujinyenyekeza kwa kuomba (Toba) kuacha njia mbaya......hii ndio hatua ya kwanza ambayo inaweza kuleta matokeo ya Mungu kuiponya aridhi yetu jambo la kwanza ni kujinyenyekeza na kuomba na kuacha njia mbaya ndipo Mungu anasema atasikia toka mbinguni na kutusamewe na KUIPONYA ARDHI YETU
2Petro 3:9
Bwana hakawii kutimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia,bali huvumilia kwenu,maana hapendi mtu yeyote apotee, Bali wote wafikiri toba.
Bado Mungu anaendelea kutukumbusha ,Na inawezekana kweli kwa muda mrefu tumefanya yaliokinyume lakini hatukuona hasira ya Bwana juu yetu....tusiwaze kwa upumbavu tukidhani kwamba labda kuna mazuri tumefanya yanayotupa nafasi...la hasha..! Ni rehema za Bwana kwamba hatuangamii kwasababu kama alivyosema kwenye neno lake hapendi hata mmoja wetu apotee hivyo anatupa muda wa kujichunguza na kuwaza toba .Ili tue na haki ya kumdai sawa sawa na neno lake ni lazima tuwe safi .
Toba itarejesha uhusiano wetu na Mungu tena na itafungua milango na kutupa nafasi kwasababu tu wasafi na maombi yetu yatafanyika manukato mbele zake
Toba juu ya mtu mmoja mmoja
Toba juu ya familia
Toba juu kaya
Toba juu ya mkoa mzima .Kwa yale tulioyajua na tusioyajua tumuombe Mungu aturehemu na atupe mwanzo mwingine
Kwa muda wa wiki mzima mpka Ijumaa ya tarehe 1 tutakua tukiomba toba na utakaso .
Matendo ya mitume 3:19
Tubuni basi,mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;
Bwana anaahidi wakati mwema mbele yetu kama tutarejea kwenye toba ,Haijalishi imekua ni wakati wa taabu na mgumu kiasi gani toba inaweza kuturudisha kwenye mstari na kutuletea nyakati za kuburudishwa yaani nyakati zisizo na mahangaiko na majuto
# TOBA
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.