Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
*FURSA YA KUJITOLEA NA RALEIGH TANZANIA*
Habari yako Kijana Wa Iringa.
Raleigh Tanzania ni shirika lisilo la Kiserikali linalofanya miradi mbalimbali ya Kujitolea nchini Tanzania kwa kushirikiana na vijana.
Hivyo,
Tunakualika katika Marketing Event
Kesho, Jumatano ya tarehe 29, June katika
Ukumbi Wa Gentle Hill Hotel
kuanzia
saa 2 asubuhi hadi saa 6. mchana.
Hii ni fursa muhimu kwa wale wote ambao wangependa kujitolea na shirika kuanzia mwezi September hadi December 2016 ili kupata ujuzi, uzoefu, maarifa na kujitengenezea wasifu binafsi.
Kwa Maelezo zaidi kuhusu Raleigh unaweza tembelea
www.raleightanzania.org
0625687554
0769023686
0713338861
Karibuni sana
*Hakuna Kiingilio*
Credit to Damas Anthony blogger share na wengine zaidi