UTEUZI WA VIONGOZI TAASISI MBALIMBALI | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Saturday, July 16, 2016

UTEUZI WA VIONGOZI TAASISI MBALIMBALI

July 16 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyopewa amefanya uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali na pia amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania.Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;Augustino Lyatonga Mrema.⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole kwa kipindi cha miaka mitatu, kuanzia leo tarehe 16 Julai, 2016.⦁ Augustino Lyatonga Mrema anachukua nafasi iliyoachwawazi na Jaji Mstaafu Mhe. Eusebia Nicholaus Munuo ambaye muda wake umemalizika.Prof. William R. Mahalu⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.Prof. Mohamed Janabi⦁ Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.Prof. Angelo Mtitu Mapunda⦁ Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.Sengiro Mulebya⦁ Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.Oliva Joseph Mhaiki⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.Winifrida Gaspar Rutaindurwa⦁ Ameteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.Charles Rukiko Majinge⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.Dkt. Julius David Mwaiselage⦁ Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.Aidha Rais  Magufuli amewapandisha vyeo maafisa 25 wa Jeshi la Polisi kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP).Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;⦁ Essaka Ndege Mugasa⦁ Adamson Afwilile Mponi⦁ Charles Ndalahwa Julius Kenyela⦁ Richard Malika Revocatus⦁ Geofrey Yesaya Kamwela⦁ Lucas John Mkondya⦁ John Mondoka Gudaba⦁ Matanga Renatus Mbushi⦁ Frasser Rweyemamu Kashai⦁ Ferdinand Elias Mtui⦁ Germanus Yotham Muhume⦁ Fulgence Clemence Ngonyani⦁ Modestus Gasper Lyimo⦁ Mboje John Shadrack Kanga⦁ Gabriel G.A. Njau⦁ Ahmed Zahor Msangi⦁ Anthony Jonas Rutashubulugukwa⦁ Dhahir Athuman Kidavashari⦁ Ndalo Nicholus Shihango⦁ Shaaban Mrai Hiki⦁ Simon Thomas Chillery⦁ Leonard Lwabuzara Paul⦁ Ahmada Abdalla Khamis⦁ Aziz Juma Mohamed⦁ Juma Yussuf AllyAidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi wengine 34 kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;⦁ Fortunatus Media Musilimu⦁ Goyayi Mabula Goyayi⦁ Gabriel Joseph Mukungu⦁ Ally Omary Ally⦁ Edward Selestine Bukombe⦁ Sifael Anase Mkonyi⦁ Naftari J. Mantamba⦁ Onesmo Manase Lyanga⦁ Paul Tresphory Kasabago⦁ Dadid Mshahara Hiza⦁ Robert Mayala⦁ Lazaro Benedict Mambosasa⦁ Camilius M. Wambura⦁ Mihayo Kagoro Msikhela⦁ Ramadhani Athumani Mungi⦁ Henry Mwaibambe Sikoki⦁ Renata Michael Mzinga⦁ Suzan Salome Kaganda⦁ Neema M. Mwanga⦁ Mponjoli Lotson⦁ Benedict Michael Wakulyamba⦁ Wilbroad William Mtafungwa⦁ Gemini Sebastian Mushi⦁ Peter Charles Kakamba⦁ Ramadhan Ng’anzi Hassan⦁ Christopher Cyprian Fuime⦁ Charles Philip Ulaya⦁ Gilles Bilabaye Muroto⦁ Mwamini Marco Lwantale⦁ Allute Yusufu Makita⦁ Kheriyangu Mgeni Khamis⦁ Nassor Ali Mohammed⦁ Salehe Mohamed Salehe⦁ Mohamed Sheikhan MohamedMaafisa hawa wa Jeshi la Polisi Tanzania wamepandishwa vyeo kuanzia July 15 2016

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.