Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Mh Mkuu wa Wilaya Iringa Richard Kasesela akimpokea Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mwigulu Nchemba mjini Iringa. Mh Mwigulu alitembelea gereza la Iringa mjini. Mkuu wa Wilaya alimuomba Mh Mwigulu kuhamisha gereza hilo ili kupisha upanuzi wa hospitali. Baada ya kutembelea gereza Mh waziri alitangaza mchakato uanze haraka wa kuhama mjini na kujenga gereza jipya eneo lililopangwa. Wilaya ya Iringa imetenga hekali 325 kwa ajili ya ujenzi wa gereza jipya eneo la Mlolo. Pia walikuwepo waziri wa Ardhi ambaye ni mbunge wa jimbo la Ismani pia mbunge wa Iringa mjini Mh Msigwa ambaye alikuja kumsabahi Mh Mwigulu.