Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
KUANZIA TAREHE 01.10.2016 KAMPENI YA *ABIRIA PAZA SAUTI IMEANZA RASMI KAMPENI AMBAYO ITAENDA HADI 31.12.2016 KWA AWAMU YA KWANZA.
*LENGO KUU LA KAMPENI NI* KUWASHAWISHI WANANCHI WASHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA KUIMARISHA USALAMA BARABARANI KWA KUPAZA SAUTI.
*Malengo Mahsusi*
a. Abiria kutambua haki na wajibu wake
b. Abiria kuelewa hakibima yake.
c. Dereva kubadilika kitabia
d. Kuufanya umma wote utambue jukumu hili.
MIPANGO YA USHIRIKA
Katika kampeni hii tunapanga kushirikiana na *CHAKUA, SUMATRA CCC, SUMATRA, UWAMATA, POLISI NA TABOA*
sisi kama mabalozi, CHAKUA nk lazima tuendelee na kampeni.
WAJIBU WA BALOZI
Kila balozi kila alipo lazima AELIMISHE, AKEMEE, ARIPOTI hasa hasa kuhusu mwendokasi, ovateki hatarishi, na dhuluma kwa abiria. Pia kusisitiza kufunga mikanda.
Tangu kuanza kwa kampeni kila siku kila balozi lazima aimbe wimbo huu wa ABIRIA PAZA SAUTI kuanzia, kwenye wall yake fb, kazini kwake, nyumbani kwake, nk.
Kama kila balozi kila wiki atapost ujumbe wa usalama barabarani walau mara tatu tu, basi ujumbe utasambaa na kuwafikia watu wengi sana.
NAOMBA TUANZE KWA KASI NA MAYOWE KAMPENI HIYO.
TCC mjipange vizuri kwaajili ya kupokea taarifa, kuzifanyia kazi na kuleta mirejesho.
Asanteni sana.
RSA TANZANIA- USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE.