Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
IANDIKE NJOZI !!!
Habakkuk 2:2
Ukisoma maandiko matakatifu yanatuhimiza kuhusiana na habari ya kuiandika njozi ( maono ) yako ewe rafiki yangu.
Katika maisha yetu ili uweze kufanikiwa na kufika mbali ni vyema ukafuata kanuni hii tunayoipata katika maandiko juu ya kuandika njozi.
Haijalishi wakati huu usomapo ujumbe huu hali yako ikoje, tambua ya kuwa MUNGU kabla hajakuumba alikujua na amekuchora katika viganja vyake, jukumu lako ni kumsogelea kwa maombi na kumpelekea hoja zako.
Usikate tamaa, usilegelege .....kaza mwendo.
Asante.
@ Apostledarmasy
Damas Anthony
Iringa
Tanzania
16 oct 2016